Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Ndiyo hivyo mwanaume gani mdebwedo hata mkewe hajaonja mapigo yake ?
Lazima kawepo kakofi kakuzugia kidogo ila asigeuze ngoma tu
Hahaaaa eti kakuzugia
 
Mwanamke anakutukana alafu unaishia kumwambia " Sawa asante ,mimi sisiemi"0[emoji3][emoji3]
 
Hii tabia ipo kwa baadhi ya wanawake
Nakumbuka zamani nikiwa mkalimani niliitwa kwenye domestic violence ya wanandoa ambapo mwanaume alimvunja mkono mke wake, cha ajabu nilipomuuliza unataka afunguliwe kesi police alikataa katakata na kusema huwa tunapigwa tukikosea

Simshangai sana kwa kauli yake tuishi nao tu hivyo hivyo
Ndio maana nchi za Ulaya domestic violence haziingiliwi na Polisi,Polisi wanfika sehemu ya tukio kama wapatanishaji tu,Kuna kesi nyingi za domestic violence wanawake wanawageukia polisi,mahakamani
 
Aende hapo kitunda kuna wakurya wa kumwaga , atapata anachokitafuta
 
Back
Top Bottom