Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Inabidi ununue skirt na blouse umuunge mkono tu
Kweli kabisa mkuu..kuna jamaa alitukanwa nadem mbele yetu

"Mwanaume suruali ,kibamia wee"..alafu jamaa akaishia kusema "sawa tu"[emoji3][emoji3]

Tia.makofi baadae akuombe msamaha.
 
Kweli kabisa mkuu..kuna jamaa alitukanwa nadem mbele yetu

"Mwanaume suruali ,kibamia wee"..alafu jamaa akaishia kusema "sawa tu"[emoji3][emoji3]

Tia.makofi baadae akuombe msamaha.
Tena makofi yatakayomjengea heshima hata mbele ya wanaume wengine yatakayomfanya akupende na kukuheshimu
 
Tena makofi yatakayomjengea heshima hata mbele ya wanaume wengine yatakayomfanya akupende na kukuheshimu
Kabisa kabisa hapo unaua ndege wawili kwa jiwe moja.

Mie nilishajiapia, Demu akileta uzinguaji wakijinga, ni makofi makofi makofi
 
Usitegemewe kupigwa kama umejaa upuuzi na maudhi .

Hautopigwa km unajielewa nakuelewa mipaka yako.
Maisha haya km unaona mwenzio kakosea unamuelewesha tu kwsbb ipo siku hata ww utakosea, je upigwe na ww? Mambo mengine ni kutengeneza chuki pasipo na ulazima.
Hv unapompiga mwenzio unategemea atakupenda tena km mwanzo?
 
MREMBO wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ametoa kali ya aina yake kuwa, katika maisha ya uhusiano, anafurahia kuwa na mwanaume ambaye atampa kipigo kidogo pale anapokosea. Mwanadada huyo aliyasema hayo hivi karibuni kwenye sherehe ya kuzaliwa ya meneja wake, Neema Ndepanya iliyofanyika nyumbani kwa Wema, Salasala jijini Dar ambapo aliulizwa na Ijumaa Wikienda kuhusu aina ya mwanaume anayependa kuwa naye

ndipo alipotoa ya moyoni.“Napenda mwanaume anipe kipigo kidogo siyo mwanaume mnaishi miaka yote, halafu hata kukupiga kofi kidogo hakupigi,” alisema Wema huku akiangua kicheko cha kiaina.
Mwisho atasema anampenda weza kudiindisha..!
 
Msiowapiga wake zenu kweli mna matatizo. Mwanamke fimbo ndo raha yake. Hadi ashike adabuuu. Usipomtandika mafimbo ya kuulia nyoka hatulii.
Pepo lake hutolewa kwa fimbo sio maombi ya wachungaji. Wema upo tiyari kuolewa wa pili??
 
Ndio maana nchi za Ulaya domestic violence haziingiliwi na Polisi,Polisi wanfika sehemu ya tukio kama wapatanishaji tu,Kuna kesi nyingi za domestic violence wanawake wanawageukia polisi,mahakamani
Kweli mkuu tena police wakija ni kutuliza ghasia tu na kubembeleza
 
Maisha haya km unaona mwenzio kakosea unamuelewesha tu kwsbb ipo siku hata ww utakosea, je upigwe na ww? Mambo mengine ni kutengeneza chuki pasipo na ulazima.
Hv unapompiga mwenzio unategemea atakupenda tena km mwanzo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu makosa ya kuelezana yanajulikana mbona na yako wazi kabisa

Nampaka nakupa Kofi, maana yake nimeona unastahili kuonywa kwa kofi.

Basi.
 
Basi arakuja azae Bondia....[emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Yeah tena huwa vinaimarisha mapenzi.
Ukichapwa unaenda kujificha jikoni unacheka [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaaaa hafu saa nyingine huwa tunawachokoza kuona reaction zenu tu ka hzo
 
Ni kweli namuunga mkono.hata Mimi mke wangu nampiga kidogo wanaume wadhaifu ndo hawawezi kufanya hivyo wanajishtukia
Brother
Mimi hata kama si mke wangu
Hata girlfriend tu akinikosea lazima achukue kipigo ili zimsogee kidogo.

Uzito wa kipigo hutegemeana na kosa lake.
 
Back
Top Bottom