Wema: Natamani nikutane na Diamond tuyamalize, ila …..

Wema: Natamani nikutane na Diamond tuyamalize, ila …..

Sasa unaongelea kutaka kuyamaliza na mtu, then hapo hapo unamwita ni mswahili!

Kick hizi.

Wema hajasema anayamaliza ili Diamond awe malaika. Na wala hajasema anayamaliza ili uswahili wa diamond uishe. Na Ninaona hapa wewe ndiye mswahili wa kumpaka mtu mgongo wa chupa kwamba amwite malaika kwa kuwa wanataka kuyamaliza wakti si mstaarabu ni mswahili. Unafiki gharama kuliko utumwa.
 
Yeye kamahanataka kumfolow huyodimondbora wakamalizahanehuko ukosisihayaha tuhuusukabihisa.
 
Maskini Zari[emoji134] kwa inavoonekana Kama diamond alifanya vile ni kwamba alifanya kwa sababu Ana hasira na wema na MTU ukiendelea kuwa na hasira na X wako it means bado unampenda, nina imani wema akitaka kurudiana na diamond diamond haweza kataa.. Maskini Zari[emoji14] [emoji14]
jipeni Moyo tu
 
Mkuu kwa wema alikaa nae muda mchache lakn alishatangaza hadi ndoa kwa kumvisha Pete and what about zari, mpaka kamzalia hadi mtoto maskin ya mungu hajaonyesha hata dalili ya kumuoa basi hata kupropose tu ,ndo kwanza anamuhimiza kutoa mimba ya pilu
Siku zote mkiishi kwa kick hamuwezi kuwaza kile kinachowezekana kutwa mtawaza ujinga tu
 
Nani ambaye alikuwa hayajui mahusiano ya Wema Sepetu na Diamond? Hakuna ila yalikuja yakazima ghafla kama mwanga wa mshumaa, kila mtu akaendelea na maisha yake lakini vita ya mashabiki wao haijaisha kiasi cha wao wenyewe kushindwa hata kupeana support.

Hali hiyo imemchosha mwanadada, Wema Sepetu ambaye ameamua kutoa ya moyoni, amesema anatamani kuonana na Diamond wazungumze wamalize tofauti zao.

“Na nnatamani, one day tuweze hata tuka kaa hivi tukaongea nikamwambia bwana embu tuondokane na mambo haya yote whatever it is me nitakusupport, wewe ukinisupport wala usiponisupport sababu yule naye mswahili sana” Wema Sepetu alifunguka





Mbali ya kutaka kuyamaliza Wema amefunguka kuwa bado kuna kutoka kwa Diamond ambaye amedai kuwa bado anampinga kwenye mambo mengi, ametolea mfano jinsi Diamond alivyotaka kufanya kumpokonya ukumbi wa King Solomon kwa kutaka kulipia siku moja ambayo na yeye amepanga kufanya show kwenye ukumbi huo,

“Me naandaa hii show ya Christian Bella, nimepata ukumbi pale King Solomon sawa, yule mtu wa King solomon nimefika pale, tumeshaongea bei ya ukumbi na kila kitu nikamwambia mimi hapa nitakuja kulipa jumangapi jumatatu, tumeongea ilikuwa Ijumaa, Jumamosi naongea na yule mtu wa King Solomon, Jumatatu naenda pale naambiwa hivi, naambiwa kwamba Diamond anataka kuuchukua ukumbi kwa tarehe hiyohiyo tisa unaona, nikamwambia hivi, nikamwambia hivi ye anataka ku’host party? akanambia nimemwambia ukumbi umechukuliwa akaniuliza na nani, nikamwambia kachukua Wema, akanambia me niko tayari kupanda dau, Unaona” Wema aliendelea kuelezea “Mwisho wa siku me namchukulia Diamond kama mtu ambaye amekuwa kimuziki lakini yeye ki’personality bado”

Hata hivyo Wema amesema kwasasa hawezi tena kurudiana na Diamond, amedai kuwa kwasasa anamuona kama icon wa muziki wa Bongo tu.
hapa harudiw mtu
 
Wema anakula mishkaki kwa kigogo wake sasa achebi huyo mondi
 
Huyo naye mmmmh, hana mengine ya kuongelea bila Simba hana maisha. Ndio tabu ya kuacha umpendaye kwa kutafuta kiki hiku rohoni na moyoni unaliali kila siku majuto. Akwendreeee zake
 
Mkuu kwa wema alikaa nae muda mchache lakn alishatangaza hadi ndoa kwa kumvisha Pete and what about zari, mpaka kamzalia hadi mtoto maskin ya mungu hajaonyesha hata dalili ya kumuoa basi hata kupropose tu ,ndo kwanza anamuhimiza kutoa mimba ya pilu

Unajua makubaliano yao? Sio kila wanaoishi pamoja lazima wafunge ndoa.
 
Wema hajasema anayamaliza ili Diamond awe malaika. Na wala hajasema anayamaliza ili uswahili wa diamond uishe. Na Ninaona hapa wewe ndiye mswahili wa kumpaka mtu mgongo wa chupa kwamba amwite malaika kwa kuwa wanataka kuyamaliza wakti si mstaarabu ni mswahili. Unafiki gharama kuliko utumwa.

Basi sawa.
 
Wema alivyokuaga na diamond,alijua diamond anatoboa kupitia yeye,na walipozinguana alisubutu kusema jamaa hawez bila yeye,ndipo neno la kiki lilipopatia umaarufu,lkn ndo hivyo,diamond kwa alipo sasa hakuna mwanamke ambae atatongozwa akatae sababu wanawake wengi wanapenda mwanaume mtafutaji na mwenye kujielewa,,
Wema kwa sasa hatopata mwanaume kama diamond tena kwenye maisha yake,wema anamaisha ya maigizo sana,kama ni mwanaume unaejielewa na mtafutaji huwezi kutoa kila week milion 2 za kusukia na miliona 2 za mkeo kulia bata kila weekend na mashoga zake,.

Mfano mdogo tu ni kwa CK,alitumia nguvu nyingi sana kuhonga na wea alikua nakiburi hatari,diamond akifanya hivi yeye anajibu hijibu,mara wema akawa na magari ya maana,audi n.k. ukitaka kujua diamond anaijua pesa,,angalia alipokua na wema alimfanyia mambo gani ya kutumia pesa,pia kumbuka hata ile Lexus yake aliyopewa na diamond,nikwamba gari ya wema iliuzwa then ikaongezwa pesa kidogo ndo ikavutwa ndinga ingine,

Diamond anaishi simple sana,angalia yeye anawekeza kwenye nyumba tu,hata ile bmw alipewa kama zawadi tu,.zaidi anatumia Lexus ya mama mzazi.
 
Back
Top Bottom