kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Kabila haliendi kwa mama, yeye ni Mzanzibari
Baba yake pia sio mzanzibari..ni mbara japo aliishi zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabila haliendi kwa mama, yeye ni Mzanzibari
Kwa hiyo mzee Mwinyi na Salmini siyo Wazanzibar kwa mantiki hiyo?Baba yake pia sio mzanzibari..ni mbara japo aliishi zanzibar
Kwa hiyo mzee Mwinyi na Salmini siyo Wazanzibar kwa mantiki hiyo?
muda si mrefu na wewe utakuwa ex...Wanapendana hao. Mtu ukimpenda huishi kumfatilia. Hlf unaumia zaid akiwa n m2 aliyekupita kila ki2. Nawaonaga maex wa mume wangu wanavyohaha.
Mbona hana vitega uchumi?Wema alivyokuaga na diamond,alijua diamond anatoboa kupitia yeye,na walipozinguana alisubutu kusema jamaa hawez bila yeye,ndipo neno la kiki lilipopatia umaarufu,lkn ndo hivyo,diamond kwa alipo sasa hakuna mwanamke ambae atatongozwa akatae sababu wanawake wengi wanapenda mwanaume mtafutaji na mwenye kujielewa,,
Wema kwa sasa hatopata mwanaume kama diamond tena kwenye maisha yake,wema anamaisha ya maigizo sana,kama ni mwanaume unaejielewa na mtafutaji huwezi kutoa kila week milion 2 za kusukia na miliona 2 za mkeo kulia bata kila weekend na mashoga zake,.
Mfano mdogo tu ni kwa CK,alitumia nguvu nyingi sana kuhonga na wea alikua nakiburi hatari,diamond akifanya hivi yeye anajibu hijibu,mara wema akawa na magari ya maana,audi n.k. ukitaka kujua diamond anaijua pesa,,angalia alipokua na wema alimfanyia mambo gani ya kutumia pesa,pia kumbuka hata ile Lexus yake aliyopewa na diamond,nikwamba gari ya wema iliuzwa then ikaongezwa pesa kidogo ndo ikavutwa ndinga ingine,
Diamond anaishi simple sana,angalia yeye anawekeza kwenye nyumba tu,hata ile bmw alipewa kama zawadi tu,.zaidi anatumia Lexus ya mama mzazi.
Kabisa yani! Mi naona maluwe luwe tuSijaelewa hii habari
Wee unamuona Zari boyaaa?analijua Hilo ndo maana kabeba mimba ingine hata mtoto hajafunga mwaka utafute popcorn tuangalie muvi itaishajeMaskini Zari[emoji134] kwa inavoonekana Kama diamond alifanya vile ni kwamba alifanya kwa sababu Ana hasira na wema na MTU ukiendelea kuwa na hasira na X wako it means bado unampenda, nina imani wema akitaka kurudiana na diamond diamond haweza kataa.. Maskini Zari[emoji14] [emoji14]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] atamwambia nini Zaidi ya kumnukisha mimoshi tu na harufu ya viungo vya babeQKwa nini asianze kukutana na yule Kigogo wa Ikulu ambaye sasa anachoma mishkaki wayamalize?
Au keshayatamani mafanikio ya Mondi?
Shoga yangu una maneno makali kuliko vinegar kwenye kidonda kibichiHivi hakuna mwanaume wa kumkojoza huyu Mnyaturu???
Nahofia yasije kuwa ya Penny!huyu Simba hatabiriki santaimuanaweza akayamaliza kiswahili swahili, maana hawa wanajuana kwa vilemba hatii
Tena kigogo bondeni......washabiki maandazi ndio wanamjaza huyo dada maneno na lenyewe lilivyo boya linaamini chibu atarudiYani Diamond akimuacha Zari na kurudi kwa Wema ni sawa na ukatoka kuishi Masaki na kuhamia Kigogo.
Huyo teja hata ukimkojoza bado watakutafunia tu uchoyo kwake sunnaHivi hakuna mwanaume wa kumkojoza huyu Mnyaturu???
Tena kigogo bondeni......washabiki maandazi ndio wanamjaza huyo dada maneno na lenyewe lilivyo boya linaamini chibu atarudi
Kwa hiyo mzee Mwinyi na Salmini siyo Wazanzibar kwa mantiki hiyo?
sunna??? Hapo ngesema faradhi ingekamilisha maana vyemaHuyo teja hata ukimkojoza bado watakutafunia tu uchoyo kwake sunna
Alijisemea R.Mugabe mwanamke mrembbo akikosa akili kitachoumia zaidi ni sehemu zake za siri, nadhani hilo limejidhihirisha vyema kwa huyo kiumbe!Wema kanyimwa akili tu.