Wema: Natamani nikutane na Diamond tuyamalize, ila …..

Wema: Natamani nikutane na Diamond tuyamalize, ila …..

Wema alivyokuaga na diamond,alijua diamond anatoboa kupitia yeye,na walipozinguana alisubutu kusema jamaa hawez bila yeye,ndipo neno la kiki lilipopatia umaarufu,lkn ndo hivyo,diamond kwa alipo sasa hakuna mwanamke ambae atatongozwa akatae sababu wanawake wengi wanapenda mwanaume mtafutaji na mwenye kujielewa,,
Wema kwa sasa hatopata mwanaume kama diamond tena kwenye maisha yake,wema anamaisha ya maigizo sana,kama ni mwanaume unaejielewa na mtafutaji huwezi kutoa kila week milion 2 za kusukia na miliona 2 za mkeo kulia bata kila weekend na mashoga zake,.

Mfano mdogo tu ni kwa CK,alitumia nguvu nyingi sana kuhonga na wea alikua nakiburi hatari,diamond akifanya hivi yeye anajibu hijibu,mara wema akawa na magari ya maana,audi n.k. ukitaka kujua diamond anaijua pesa,,angalia alipokua na wema alimfanyia mambo gani ya kutumia pesa,pia kumbuka hata ile Lexus yake aliyopewa na diamond,nikwamba gari ya wema iliuzwa then ikaongezwa pesa kidogo ndo ikavutwa ndinga ingine,

Diamond anaishi simple sana,angalia yeye anawekeza kwenye nyumba tu,hata ile bmw alipewa kama zawadi tu,.zaidi anatumia Lexus ya mama mzazi.
Mbona hana vitega uchumi?
 
Maskini Zari[emoji134] kwa inavoonekana Kama diamond alifanya vile ni kwamba alifanya kwa sababu Ana hasira na wema na MTU ukiendelea kuwa na hasira na X wako it means bado unampenda, nina imani wema akitaka kurudiana na diamond diamond haweza kataa.. Maskini Zari[emoji14] [emoji14]
Wee unamuona Zari boyaaa?analijua Hilo ndo maana kabeba mimba ingine hata mtoto hajafunga mwaka utafute popcorn tuangalie muvi itaishaje
 
Yani Diamond akimuacha Zari na kurudi kwa Wema ni sawa na ukatoka kuishi Masaki na kuhamia Kigogo.
Tena kigogo bondeni......washabiki maandazi ndio wanamjaza huyo dada maneno na lenyewe lilivyo boya linaamini chibu atarudi
 
Diamond huyu wema ni koloni Lake sasa kuwajadili ni kupoteza Muda tu,
Sisi wenyewe hapa tuna makoloni yetu hata bush kwa bibi zetu tukienda huwa hayana hiyana mbona
 
Tatizo linalowaponza wanawake wa sampuli hii ni tamaa na kutoridhika, ukimpata mtu anayejitambua ni asset tosha maishani mtu aliyefikia mpaka kukuvisha pete ya ndoa regardless mlitofautiana mara ngapi awali,akupe zawadi ya thamani ya mamilioni ili tu kujustify upendo wake kwako ila bado jitu alikuridhika! Je ni upendo kiasi gani kijana wa watu aliouonyesha mtu ashindwe ku appreciate na kuona jinsi alivyo serious na upendo wa dhati...Badala mtu atulie anaendekeza umalaya,maigizo na kutaka kuzagaa magazetini kila uchao...Tatizo alijiona kiboko yao akahisi ana hati miliki ya penzi kwa Dai na kuhisi atakuwa si lolote bila yeye na vile alikuwa kila akitingisha jamaa anamsamehe na kumrudia akaona kama kumumunya pipi,pumbavvvv!!!

Moyo ukiumia sana huwa unafikia stage mtu hubadilika na kuchukua maamuzi magumu na huwa mara nyingi yanaghubikwa hasira, chuki na kisasi either directly or indirectly yakilenga kumfanya mlengwa ajute kwa namna yoyote ile tokana na maumivu aliyokusababishia. Bwana Simba amefanikisha hilo kwa 150% baada ya kumprove wrong kwa kukamata mtoto aliomzidi kila kitu bibie ikiwa ni uzuri,maisha mpaka kizazi kudadadeki huku nyota yake ikizidi kung'aa zaidi bila uwepo wake!

Sasa ni muda wa bibie kuvuna alichokipanda na wala asilalamike, namuunga mkono bwana Simba kwa fundisho zuri analotoa kwa ex wake maana alikuwa na nyodo sana enzi anapendwa akijiona bab kubwa hatimaye sasa kashakula za uso na kushuhudia ambayo hakutarajia kuyaona toka kwa bwana Simba, ni dhahiri anaumia na kujuta, anatamani hata muujiza utokee ili yeye ndio awe first lady ila haiwezekani tumbavvv alishazoea vya ubwete sahivi awamu ni ya "Hapa Kazi Tu" hakuna kusafiria nyota wala maigizo ya kijinga!
 
Back
Top Bottom