Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja cha redio leo mchana alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa Salome alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lkn ilibidi walipe mil 75 kama gharama za yeye kutokea kwenye video lkn WCB walitaka kutoa mil 50 ndipo aliposhauriana na uongozi wake na kuamua kukataa.

"Ni kweli ningetokea kwenye video hiyo lakini walitoa pesa madafu,kaka mtangazaji siwezi kuuza sura kwa mil 50,ebu fikiria nimetumia karibia bilioni kutengeneza jina langu,nina biashara za mamilioni,leo Nassib anataka kunipa mil 50,that is not fair kwa kweli"

Mdau yapi maoni yako kuhusu gharama za huyu mlimbwende?

muongo sana.ata buku 7angepoke
 
Si bora ungechukua hiyo hela ukafungua duka wema angalau ukawa na ofisi sasa utaishia kuzungusha tu kiuno mastejini sijui show gani vile nimesahau
 
Back
Top Bottom