Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

kalipwa!
hamisa ni model lazima alipwe!!!
nani kwakwambia hajalipwa?
katekeleza kazi yake ipasavyo..

na video vixen ilibidi atoke Tz kwa ajili ya kujua maana ya muziki... ili aucheze kwa ufasaha..
kazi imefanyika wenye wivu wajinyonge sasa!!!
em muacheni dada wa watu aishi maisha yake jamani...!!
kwani nani aliwathibitishia kua ni mwanammke wa chibu...
watu huwa na maneno sana na ndio maana utafiti umethibitisha udhaifu wa watanzania kuwa huwa tunafikiri kwa 1% tu
 
Sikumaanisha kumshusha utu wake nilimaanisha as video queen hawez kuwa na such thamani of money yaan million 75..duuuhh impossible
Milioni 50 anasema pesa madafu kweli papuchi yake inamwingizia hela nyingi kwa goli moja atakuwa anaingia pesa ndefu
khaaaaaa hivi ulivyoandika ulikuwa mzima au ulikuwa umechanganya hivi mtu kweli unaweza kukaa na kuandika kitu kama hiki duuuuhh ngachokaaaaaa kabisaaaaa.
 
pumbavu iyo kamba iyo madam apo ametufunga kamba wakt M50 ata international video queen angefany madam anatafuta kiki
 
Hivi na huyu tukimtukana million 7 zinausika kweli??
 
Warumiiii take her to the hospital she is sick in the head!
 
Angekuwa ana pesa angeiba Umeme wa Tanesco na Maji ya Dawasco?
 
TEAM MBOVU SANA
Kabisa. Ingekua thamani yake ni bilioni kama anavyodai, angekua na nyumba yake nzuri tu mjinj, na sio kutupiwa vyombo nje kwenye nyumba aliyopanga lale K. Nyama
 
Bwahahahahahahahahahahahahahahhahhahahhhahahhahahahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom