Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaahaha hakuna mtu asiyekuwa na uthamani.Wema hana thamani ya pesa hiyo kwa sasa.. ashukur diamond bado anamkumbuka .....sepetuka
Sikumaanisha kumshusha utu wake nilimaanisha as video queen hawez kuwa na such thamani of money yaan million 75..duuuhh impossiblehahahaaahaha hakuna mtu asiyekuwa na uthamani.
Milioni 50 anasema pesa madafu kweli papuchi yake inamwingizia hela nyingi kwa goli moja atakuwa anaingia pesa ndefuwalitoa pesa madafu,kaka mtangazaji siwezi kuuza sura kwa mil 50
watu huwa na maneno sana na ndio maana utafiti umethibitisha udhaifu wa watanzania kuwa huwa tunafikiri kwa 1% tukalipwa!
hamisa ni model lazima alipwe!!!
nani kwakwambia hajalipwa?
katekeleza kazi yake ipasavyo..
na video vixen ilibidi atoke Tz kwa ajili ya kujua maana ya muziki... ili aucheze kwa ufasaha..
kazi imefanyika wenye wivu wajinyonge sasa!!!
em muacheni dada wa watu aishi maisha yake jamani...!!
kwani nani aliwathibitishia kua ni mwanammke wa chibu...
Sikumaanisha kumshusha utu wake nilimaanisha as video queen hawez kuwa na such thamani of money yaan million 75..duuuhh impossible
khaaaaaa hivi ulivyoandika ulikuwa mzima au ulikuwa umechanganya hivi mtu kweli unaweza kukaa na kuandika kitu kama hiki duuuuhh ngachokaaaaaa kabisaaaaa.Milioni 50 anasema pesa madafu kweli papuchi yake inamwingizia hela nyingi kwa goli moja atakuwa anaingia pesa ndefu
Kabisa. Ingekua thamani yake ni bilioni kama anavyodai, angekua na nyumba yake nzuri tu mjinj, na sio kutupiwa vyombo nje kwenye nyumba aliyopanga lale K. NyamaTEAM MBOVU SANA