engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,379
- 1,394
Lakini ni baba yake, hakuna kinacho badilika.Huyu alijidai mjanja wakati diamond akiwa bado dogo.
Sasa anajuta na kutaka kulazimisha ha ha ha.
Misaada ruksaa kwa wahitaji wote tena hakuna shida kabisa sasa kama unafanya kwa goodwill media ni ya nini?Ni ujinga upi tena inamaana mtu akikosa msaada kwako ndio baasi asitokee mtu mwingini akamsaidia ndio unakua mjinga? Hapana kiongozi tujifunze kuhurumiana
matusi kwa maana ya kumdhalilisha diamond maana kwa pesa alizonazo hashindwi kumtibu mzee wake hvyo wema anamfundisha kusamehe haswa pindi wakati wa shida mzazi ni mzazi tu msaidie kama unavyosaidia wengine na kusamehe piaKivipi yani?
Hakuna jambo likakosa mfano kwa hili yote na yote ndilo linawakilisha kweni unazani wote wana uwa wanajulikana? Ni kupitia uwakilishi nfo kama hivyo diamondBado nasisitiza hii ni ishu ya kifamilia na kwakuwa ni Diamond
Huku mitaani kuna worst cases kuliko hii...kuna watu wako hoi hasa wako kwenye hospitali zetu huyo mzee daily yuko kwenye vyombo vya habari...tuwe watu wa tafakuri
Baadhi hapa wanajifanya kumuonea huyo mzee huruma na kumlaumu Diamond wakati nao wana vimeo kama hivyo kwenye familia zao....nasisitiza Tujitafakari
Pasua Babaa..... Watu wanapenda kushabikia ya wenzao ilihali wana ya kwao yanayofanana na hayo yanawashinda,badala ya kuyatumia hayo ya wenzao kama funzo,wao wanabakia ushabiki tu,hao ndio binadamu bwana,ujuaji mwingii.Bado nasisitiza hii ni ishu ya kifamilia na kwakuwa ni Diamond
Huku mitaani kuna worst cases kuliko hii...kuna watu wako hoi hasa wako kwenye hospitali zetu huyo mzee daily yuko kwenye vyombo vya habari...tuwe watu wa tafakuri
Baadhi hapa wanajifanya kumuonea huyo mzee huruma na kumlaumu Diamond wakati nao wana vimeo kama hivyo kwenye familia zao....nasisitiza Tujitafakari
Uandishi wako kidogo unanipa shida..hii ishu zipo tu mbona mimi natembelea sana mahospitali Magereza na hata vituo vya wazee na watoto yatimaHakuna jambo likakosa mfano kwa hili yote na yote ndilo linawakilisha kweni unazani wote wana uwa wanajulikana? Ni kupitia uwakilishi nfo kama hivyo diamond
Family issues huwa zinapanuka na kuwa public ussues kwa hiyo jamii haikatazwi kujua habari za family au public ussues.Kwa mfano wanandoa watapigana kugombea penzi kitandani wakiwa wawili tu ni family issue lakini wakipasuana macho na kupelekana mahakamani inakuwa public ussue.Hizi ni family issues zina mizizi na mlolongo wa matukio tusishadadie tusiyoyajua tusiwe na upande bali matukio kama haya yatupe nafasi ya kujifunza na kujitafakari
Sawa ni public but to what extent?Family issues huwa zinapanuka na kuwa public ussues kwa hiyo jamii haikatazwi kujua habari za family au public ussues.Kwa mfano wanandoa watapigana kugombea penzi kitandani wakiwa wawili tu ni family issue lakini wakipasuana macho na kupelekana mahakamani inakuwa public ussue.
Hehe heeeeKwa kuonesha hana kinyongo na ex bf wake Wema sepetu amesema kuwa atapigana kufa na kupona mpaka pale hali ya baba yake diamond itakapo tengemaa
View attachment 394405
View attachment 394406
View attachment 394407
View attachment 394408
Sjakataa wako wengi sana lkn wote hao wanawakilishwa na hili la diamond ambalo kwa mtizamo wako ni dogo sana hakuna mazambi yakajulikana bila kuwa na tatizoUandishi wako kidogo unanipa shida..hii ishu zipo tu mbona mimi natembelea sana mahospitali Magereza na hata vituo vya wazee na watoto yatima
Fanya ziara siku moja ukajionee ya huko kama ukirudi hapa hutatamani kumnasa vibao huyo mzee
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Dada Wema tenda Wema nenda zako M/mungu atakuzidishia pale ulipotoa/utakapo toa.
ONYO:
Tafadhali usijejutia msaada utakaotoa/ulioutoa Kwa baba Diamond pindi kauli zitakapo pishana na wenye baba yao.
Mfano:
1. Kilichotokea Kwa kajala baada ya kumlipia pesa mahakamani.
Ulijilaumu na kujuta kumsaidia.
Hivi angekuwa ni masikini huyu dingi angeenda global kulialia Damn it nisingempa hata miaHuyu alijidai mjanja wakati diamond akiwa bado dogo.
Sasa anajuta na kutaka kulazimisha ha ha ha.
Sure, ili ni la kujifunzaHizi ni family issues zina mizizi na mlolongo wa matukio tusishadadie tusiyoyajua tusiwe na upande bali matukio kama haya yatupe nafasi ya kujifunza na kujitafakari
FactsHivi angekuwa ni masikini huyu dingi angeenda global kulialia Damn it nisingempa hata mia
Hili ni dogo kweli kwangu lakini linakuzwa na wenye maslahi binafsi na agenda zao! Kati ya wagonjwa tunaowajua huyo hastahili kuitwa mgonjwa(labda wa kupenda kuongea family issues kwenye media)Sjakataa wako wengi sana lkn wote hao wanawakilishwa na hili la diamond ambalo kwa mtizamo wako ni dogo sana hakuna mazambi yakajulikana bila kuwa na tatizo
Msiangalie upande mmoja je kama mke wako anakuacha sababu una pesa anafanya umalaya Ana kuzarau na kukutenganisha na watoto wako[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ONYO LA PILI WANAUME MKOME KUTELEKEZA WANAWAKE NA WATOTO HIKI KIDINGI HAKIKUJUA KAMA DAI ANGETOKA JE ANGEKUFA AU ANGEISHIA KUWA MASIIKINI