Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?
Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.