Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Hili ni dogo kweli kwangu lakini linakuzwa na wenye maslahi binafsi na agenda zao! Kati ya wagonjwa tunaowajua huyo hastahili kuitwa mgonjwa(labda wa kupenda kuongea family issues kwenye media)
Lkn ukumbuke kuwa bado kuna hatua mbele yako kweni waweza kuwa mwema kwa hatua ndefu sana lkn sekunde moja yaweza kuwa hatari na wema wako wote ukapotea wasikie tu hawa watu wanaitwa wanawake lkn nikuombee amani ktk safari yako is maisha
 
Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?

Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
Halafu umri umeenda jamaa ana tattoo kwenye mkono wake wa kulia, cheki picha ya kwanza hapo juu!
 
Lkn ukumbuke kuwa bado kuna hatua mbele yako kweni waweza kuwa mwema kwa hatua ndefu sana lkn sekunde moja yaweza kuwa hatari na wema wako wote ukapotea wasikie tu hawa watu wanaitwa wanawake lkn nikuombee amani ktk safari yako is maisha
Aaaamen nawe pia
 
Kwani Diamond ni mtoto pekee wa huyo baba?
Pia huyo baba hana ndugu wa pande zote mbili wakamsaidia?
Na anaumwa nini hasaa kikubwa mno mpaka kila siku story iwe yeye tu.

Mwambieni Wema na yeye aache ufukunyuku, kama ana huruma sana ajenge kituo cha kusaidia maskini ajipatie thawabu za uhakika, asijishebedue kuingia kwenye familia za watu hali ya kua yeye mwenyewe yake yanamshinda.
Tenda wema kwa nafasi ya kwako na wala usitizame pembeni mwako pana nani, ikiwa wewe shingo yako ni kakamavu basi enenda zako wala usitizame nyuma.
 
Kujipendekeza pendekeza tu kwa chibu
Yaani wabongo sijui Kama tutaendelea kwa staili hii, wema sawa Ana Tania zake ambazo haziipendez jamii lakin kwenye lakini katika wasanii wenye roho nzuri na ya kusaidia ni wema sepetu hilo liko wazi,
 
Msiangalie upande mmoja je kama mke wako anakuacha sababu una pesa anafanya umalaya Ana kuzarau na kukutenganisha na watoto wako
upande huo ni mara chaaaaaaache sana inatokea na pia mara nyingi chanzo ni mwanaume mkome
 
Anazungumzia upande wake au usio wake! Hakuna haja ya mtu kuchangia 20m mahali huku Baba yake anaugua, hata Kama anafanya kosa gani, Baba Ni Baba tu na wengi.
Kweli kabisa mkuu Kama mzazi alikosea na akakuomba msamaha usipomsamehe wewe ndo dhambi zitabaki kwako halaf pia ni aibu kwa MTU Kama diamond lkn inaonyesha yule Sandra ndo anaemshawish mwanae maana diamond kwa mamake hapingi kitu
 
Ni jambo zuri sana wema, Ila naona diamond atazalilika kwenye jamii maana anauwezo pia wa kumsaidia baba yake
Atazalilika kivipi?
Mambo ya kifamilia mtu wa nje huwezi kuyajua kamwe, na huyo Wema hakuna anachotoa msaada zaidi ya kujipendekeza kwa Dai na kutafuta Kiki

Wakati Mama Daimond anaangaika na Daimond, huyo Mdingi mambo yake yalikuwa Super na hakuwahi kutoa chcochote kkama support ya mtoto, Diamond kalelewa na Mamake kwa mazingira ya shida sana

Huyo Mzee kaanza kujitokeza baada ya Dai kutusua, na alijitokeza kupitia magazeti ya Shigongo na Diamond alimkana kuwa sio babake

Mambo ya kifamilia yana siri kubwa sana
 
Hivi nani aliwaambia huyo ni babake diamond!!?babaake diamond anakaa ngaramtoni Arusha na sio huyu wa dar ukitaka details zaidi ni pm.
 
Ni jambo zuri lakin Diamond mi naona ni msimamo wa kijinga alio nao baba ni baba tu hata kama alifanya nn ni baba tu na siku akifa ndo utakapo jua kuwa alikuwa na umuhimu gani hv kweli unamiliki billions of money unashindwa kumsaidia baba ako Mzazi Mzazi kweli hata kama kakukataa au kukufanyia vitu vbaya Hebu tutazame macho yetu juu kuna Mungu jamaan mbona hzi.Inaniuma sana coz nampenda baba .
 
Ni kutafuta kiki tu huko mbona siku nyingi malalamiko ni ya BABA mzazi tu. Hao waandishi waende pia kwa Mamake Diamond wapate na upande WA pili. Still Kama mzazi alishindwa malezi na mtoto kajitahidi amekua na maisha. Awe mpole mtu
 
Ni jambo zuri lakin Diamond mi naona ni msimamo wa kijinga alio nao baba ni baba tu hata kama alifanya nn ni baba tu na siku akifa ndo utakapo jua kuwa alikuwa na umuhimu gani hv kweli unamiliki billions of money unashindwa kumsaidia baba ako Mzazi Mzazi kweli hata kama kakukataa au kukufanyia vitu vbaya Hebu tutazame macho yetu juu kuna Mungu jamaan mbona hzi.Inaniuma sana coz nampenda baba .

msimamo wa kijinga kaurithi kwa huyo huyo babake aliyemuacha tangu mdogo na ukauzu hakujali nyoka huzaa nyoka atulie ale ugali mlenda kama wazee wenzie wa uswahilini akipata msaada wa matibabu ashukuru maana hata alaani vipi laana itamrudia
 
Back
Top Bottom