saimon111
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,736
- 1,355
Kwani huyo dingi wakati anaikimbia familia anaenda kula maisha na dogodogo aliua hawazi kuna siku nassib atatoboa....??? Huyo wema tabia zake nani hasiyemjua saiv atakua anataka kutembea na huyo mzee sema alikosa njia.
Maana katembea na diamond akaingia kwa marafiki wa diamond saiv anaenda kwa huyo dingi
Maana katembea na diamond akaingia kwa marafiki wa diamond saiv anaenda kwa huyo dingi