Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Ampeleke hospital halafu wamuite Shigongo awapige picha za rangi rangi wazitoe kwenye magazeti yao. Kiki nyingine bhana. Kuna wagonjwa kibao wanahitaji misaada mbona hawasaidii?
 
Mzee msanii sana,kama ikiwezekana wema ampe scene kazaa acheze nae movie labda anaweza akachukua kiti cha jengua au mzee majuto
 
Udaku hauna mambo ya kuomba evidence, maana naona watu wameshuka mapoint kwenye uzushi
 
hana adabu kabisa yeye na wanaume woote wanaotelekeza watoto....
halafu lijitu linabofya keyboard kusema baba ni baba... baba si kutia mimba tumboi kwa mwanamke

wakati wa ujana mnawapa wanawake mimba halafu mnawakana, tena hata hapa jf mpo mtu unakuta anawatoto kibao nje ya ndoa wengine wa mahousegirl wengine sijui wa ma bar maid mnawakataa na kuwakana kwasababu mnajua hizo mimba hazimo miilini mwenu........... huku mbeleni ndo mnaanza kumbwelambwela na ninyi ndo wa kwanza kuwatukana single mothers ...mnajiona wajanjaa

kama baba dai angalikuwa ni mjomba wangu hakuna rangi ningeacha kumuonyesha

namshukuru baba yangu alinilea kwa kipindi kifupi cha maisha yangu lakini mpaka leo hii bado nakumbuka raha za kuwwa na baba mungu amlaze pema peponi ni miaka 28 sasa tangu umetutoka na tunakukumbuka daima hakuna raha sikupata tz hii....... i thank you dadyyyyyyyy


baba dai hana watoto wengine ?aliowapata ujaniani wakati anakula raha ?

Mbona maneno kibao mpendwaa...
Ni mtazamo tu, hatutafuti tuzo hapa.
 
Mbona maneno kibao mpendwaa...
Ni mtazamo tu, hatutafuti tuzo hapa.
usinichefue kama umeacha mtoto ukamchukue kama nimekukera soma uzi za wengine konyo zako wewe yani nimekutukania ukoo mzima uzinizoee kabisa ...........mchewwwwwwwwwwwww tuzo kampe bib......... yako
 
Baba Diamond, pole . Kufanya mashambulizi ya mwanao kwenye media haikusaidii. Tafakari ulikosea wapi badala ya kutaka huruma ya public usiyostahili. Kihekima rudi kimyakimya kwa mzazi mwenzio na mwanao myamalize, nyinyi ndio mnamajibu sahihi. Ushauri kwa wengine wanaosema baba ni baba, HAPANA! Siku hizi vijana mmekuwa mkiwadanganya binti zetu nitakuoa ukila tunda unamwambia binti wa watu msijuane! Fikiria kahangaikaaa na mwanawe ikifika saa kumi na mbili jioni umekwama ndio unasema baba ni baba, aibu kwako! hata mbwa anathamani kuliko baba wa hivyo.

naona unaleta maigizo ya kinigeria.

ngoja tuandae shoo ya singeli pale dar live itajulikana kwa jina la 'saidia baba diamond apate matibabu' ndiyo mtatia akili
 
Huyu dada anatafuta kick,maana aliwah kumsaidia Kajala baadae ikaja kua story na masimango sasa kama wamepanga na huyo mdingi anaetafuta huruma za watu kumchafua kijana wa watu wajue itawabumia, WANAUME WENZANGU TUJIFUNZE KWA HILI
 
Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?

Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
Kunatatzo la kimaadili kubwa kwa dimond, mm si muumin wa mziki ila nmekuwa nakutana na hii scandal ya mtt na baba, kimsingi hata kama baba alikosea vip akakukana akakuacha ukatesek Kwa kila namna bado Baba ataendelea kuwa baba tu

Kunaumhi mkubwa wa hyo dogo kupewa ushauli wa kisaikolojia, haiwezekani uwe na chuki kiasi hicho, halafu et uwasaidie watu wengine
Liko andiko ktk biblia linasema asie wajari wa kwao ni mbaya kuliko asieamini...
 
Eti asiyejari wa kwao,kwani huyo mzee huo usemi haukumhusu.Kwanza Watoto anao wengi hada hao wanatakiwa kumsaidia
 
Bado nasisitiza hii ni ishu ya kifamilia na kwakuwa ni Diamond
Huku mitaani kuna worst cases kuliko hii...kuna watu wako hoi hasa wako kwenye hospitali zetu huyo mzee daily yuko kwenye vyombo vya habari...tuwe watu wa tafakuri
Baadhi hapa wanajifanya kumuonea huyo mzee huruma na kumlaumu Diamond wakati nao wana vimeo kama hivyo kwenye familia zao....nasisitiza Tujitafakari
ungekuwa karibu ningekupa zawadi umeongea point sana lakini basi uko mbali ni vidole ndo vimetype ila umetoa somo
 
Back
Top Bottom