Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Ni ujinga upi tena inamaana mtu akikosa msaada kwako ndio baasi asitokee mtu mwingini akamsaidia ndio unakua mjinga? Hapana kiongozi tujifunze kuhurumiana
Misaada ruksaa kwa wahitaji wote tena hakuna shida kabisa sasa kama unafanya kwa goodwill media ni ya nini?
 
Kivipi yani?
matusi kwa maana ya kumdhalilisha diamond maana kwa pesa alizonazo hashindwi kumtibu mzee wake hvyo wema anamfundisha kusamehe haswa pindi wakati wa shida mzazi ni mzazi tu msaidie kama unavyosaidia wengine na kusamehe pia

Wema ana sifa ndio tena za kijinga anasaidia watu maarufu tu[emoji57] [emoji57]hizo pesa si akatoe sadaka kwa wayatima!!
 
Bado nasisitiza hii ni ishu ya kifamilia na kwakuwa ni Diamond
Huku mitaani kuna worst cases kuliko hii...kuna watu wako hoi hasa wako kwenye hospitali zetu huyo mzee daily yuko kwenye vyombo vya habari...tuwe watu wa tafakuri
Baadhi hapa wanajifanya kumuonea huyo mzee huruma na kumlaumu Diamond wakati nao wana vimeo kama hivyo kwenye familia zao....nasisitiza Tujitafakari
Hakuna jambo likakosa mfano kwa hili yote na yote ndilo linawakilisha kweni unazani wote wana uwa wanajulikana? Ni kupitia uwakilishi nfo kama hivyo diamond
 
Pasua Babaa..... Watu wanapenda kushabikia ya wenzao ilihali wana ya kwao yanayofanana na hayo yanawashinda,badala ya kuyatumia hayo ya wenzao kama funzo,wao wanabakia ushabiki tu,hao ndio binadamu bwana,ujuaji mwingii.
 
Hakuna jambo likakosa mfano kwa hili yote na yote ndilo linawakilisha kweni unazani wote wana uwa wanajulikana? Ni kupitia uwakilishi nfo kama hivyo diamond
Uandishi wako kidogo unanipa shida..hii ishu zipo tu mbona mimi natembelea sana mahospitali Magereza na hata vituo vya wazee na watoto yatima
Fanya ziara siku moja ukajionee ya huko kama ukirudi hapa hutatamani kumnasa vibao huyo mzee
 
Hizi ni family issues zina mizizi na mlolongo wa matukio tusishadadie tusiyoyajua tusiwe na upande bali matukio kama haya yatupe nafasi ya kujifunza na kujitafakari
Family issues huwa zinapanuka na kuwa public ussues kwa hiyo jamii haikatazwi kujua habari za family au public ussues.Kwa mfano wanandoa watapigana kugombea penzi kitandani wakiwa wawili tu ni family issue lakini wakipasuana macho na kupelekana mahakamani inakuwa public ussue.
 
Sawa ni public but to what extent?
 
Uandishi wako kidogo unanipa shida..hii ishu zipo tu mbona mimi natembelea sana mahospitali Magereza na hata vituo vya wazee na watoto yatima
Fanya ziara siku moja ukajionee ya huko kama ukirudi hapa hutatamani kumnasa vibao huyo mzee
Sjakataa wako wengi sana lkn wote hao wanawakilishwa na hili la diamond ambalo kwa mtizamo wako ni dogo sana hakuna mazambi yakajulikana bila kuwa na tatizo
 
Dada Wema tenda Wema nenda zako M/mungu atakuzidishia pale ulipotoa/utakapo toa.

ONYO:
Tafadhali usijejutia msaada utakaotoa/ulioutoa Kwa baba Diamond pindi kauli zitakapo pishana na wenye baba yao.
Mfano:
1. Kilichotokea Kwa kajala baada ya kumlipia pesa mahakamani.
Ulijilaumu na kujuta kumsaidia.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
ONYO LA PILI

WANAUME MKOME KUTELEKEZA WANAWAKE NA WATOTO,
HIKI KIDINGI HAKIKUJUA KAMA DAI ANGETOKA!!!!!!!!!!!!!!
..... JE ANGEKUFA AU ANGEISHIA KUWA MASIIKINI?
alelewe na wale aliozaa wakati dai anaokota chupa za maplastik
 
Kufanikiwa kwenye familia zetu ni kama laana. Huyu mzee hana watoto/ndugu wengine zaidi ya Chibu/Dangote? Kwa nini asiitishe kikao cha familia? Wanaume wengine tuko sperm donors, tukubali matokeo ya matendo yetu. Hii kesi ni kama ya Dr Kigwa,kumhusu mzazi wake wa kiume. Hata mama kuku hulea vitoto vyake hadi wajitegemee.
 
Sjakataa wako wengi sana lkn wote hao wanawakilishwa na hili la diamond ambalo kwa mtizamo wako ni dogo sana hakuna mazambi yakajulikana bila kuwa na tatizo
Hili ni dogo kweli kwangu lakini linakuzwa na wenye maslahi binafsi na agenda zao! Kati ya wagonjwa tunaowajua huyo hastahili kuitwa mgonjwa(labda wa kupenda kuongea family issues kwenye media)
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ONYO LA PILI WANAUME MKOME KUTELEKEZA WANAWAKE NA WATOTO HIKI KIDINGI HAKIKUJUA KAMA DAI ANGETOKA JE ANGEKUFA AU ANGEISHIA KUWA MASIIKINI
Msiangalie upande mmoja je kama mke wako anakuacha sababu una pesa anafanya umalaya Ana kuzarau na kukutenganisha na watoto wako
 
Back
Top Bottom