Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Ampeleke hospital halafu wamuite Shigongo awapige picha za rangi rangi wazitoe kwenye magazeti yao. Kiki nyingine bhana. Kuna wagonjwa kibao wanahitaji misaada mbona hawasaidii?
 
Mzee msanii sana,kama ikiwezekana wema ampe scene kazaa acheze nae movie labda anaweza akachukua kiti cha jengua au mzee majuto
 
Udaku hauna mambo ya kuomba evidence, maana naona watu wameshuka mapoint kwenye uzushi
 

Mbona maneno kibao mpendwaa...
Ni mtazamo tu, hatutafuti tuzo hapa.
 
Mbona maneno kibao mpendwaa...
Ni mtazamo tu, hatutafuti tuzo hapa.
usinichefue kama umeacha mtoto ukamchukue kama nimekukera soma uzi za wengine konyo zako wewe yani nimekutukania ukoo mzima uzinizoee kabisa ...........mchewwwwwwwwwwwww tuzo kampe bib......... yako
 

naona unaleta maigizo ya kinigeria.

ngoja tuandae shoo ya singeli pale dar live itajulikana kwa jina la 'saidia baba diamond apate matibabu' ndiyo mtatia akili
 
Baba yake Diamond alikujaga pale Magomen Proches Pub yani mtata balaaa hela alkipewa ye anakula na wanawake
 
Huyu dada anatafuta kick,maana aliwah kumsaidia Kajala baadae ikaja kua story na masimango sasa kama wamepanga na huyo mdingi anaetafuta huruma za watu kumchafua kijana wa watu wajue itawabumia, WANAUME WENZANGU TUJIFUNZE KWA HILI
 
Kunatatzo la kimaadili kubwa kwa dimond, mm si muumin wa mziki ila nmekuwa nakutana na hii scandal ya mtt na baba, kimsingi hata kama baba alikosea vip akakukana akakuacha ukatesek Kwa kila namna bado Baba ataendelea kuwa baba tu

Kunaumhi mkubwa wa hyo dogo kupewa ushauli wa kisaikolojia, haiwezekani uwe na chuki kiasi hicho, halafu et uwasaidie watu wengine
Liko andiko ktk biblia linasema asie wajari wa kwao ni mbaya kuliko asieamini...
 
Eti asiyejari wa kwao,kwani huyo mzee huo usemi haukumhusu.Kwanza Watoto anao wengi hada hao wanatakiwa kumsaidia
 
ungekuwa karibu ningekupa zawadi umeongea point sana lakini basi uko mbali ni vidole ndo vimetype ila umetoa somo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…