Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

irk

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
486
Reaction score
388
Habari wapendwa..

Kwa taarifa nilizozinyaka hivi karibuni hukooo Instagram ni kuwa kipenzi cha wengi ( najua wengi mtabisha) si mwingine mrembo wetu Miss TZ 2006 na CEO wa kampuni ya ENDLESS FAME the one & only WEMA ABRAHAM ISAC SEPETU anaolewa hivi karibuni na model anaekuja kwa spidi ya 4G CALISAH ABDULHAMID.

Though hawaja comfirm wenyewe kuhusiana na habari hii ila nimejiongeza tu mwenyewe baada ya kuzinyaka picha hizi...

1476718669175.png
1476718683007.png
1476718706158.png
1476718795134.png
.

Kwa msio mjua uyo shemela we2 mpya na wa kudumu huyu hapa..

1476719442229.png
1476719530814.png
1476719644915.png
1476719681585.png
.

Kama habari hizi ni za ukweli basi si vibaya wa JF tukiwa wakwanza kumpongeza na kumtakia kila la kheri katika safari hii. [emoji4]
 
Ndoa inahitaji uvumilivu na utayari wa kuitumikia ndoa sababu inachangamoto nyingi. Hongera sana Wema Sepetu kwa maamuzi mazuri ya kupata stara.
 
Namkubali dana huyu jamaa kwenye lile tangazo la startimes
 
  • Thanks
Reactions: irk
Back
Top Bottom