Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

Another drama kaa mkao wa kula.Magazet nayo yajiandae kuuza.mweee huyu naye......
 
  • Thanks
Reactions: irk
Watanzania hamkomi tu na masinema ya kuingizwa chaka na huyu wema?

Amini usiamini habari kama hii itakaa kurasa ya juu ya gazeti la udaku na itauza sana kwa watanzania wasahau shida zao.
 
Ahahaaaaaah...
Kweli ya dunia mengi...
Huyu Bwana leo anamnyapianyapia Wema Sepenga..!
Wakati kipindi hicho tupo nae Kurasini Sec School alikua NYUMBU tu..!
Dah..!!!
Ngoja na mimi niendelee na HARAKATI zangu,labda siku moja nitaandikwa humu kwamba NABATUA Jokate Kidoti..!
Thubutuuu labda jokate wa uko uko tandale kwenu
 
  • Thanks
Reactions: irk
Back
Top Bottom