Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

Taarifa zenyewe umetoa Instagram unaleta huku yaani yaan we kichaa kati ya watanzania wanne
 
Hadi tuone cheti cha ndoa, Watanzania sio watu wa mchezo mchezo
 
  • Thanks
Reactions: irk
ifike mahala Wema ajiheshimu, atafute mwanaume wa kuendana nae..
mwanaume mtu mzima na akili zake za maisha & very smart

hawa watoto haendanagi nao kabisa
sijui idris,calisa luis
wanazidi kumshusha hadhi yake, hata kama anawapa kik
 
aisee tukianzisha viwanda vya diapers a.k.a pampaz tutapata pesa ajabu.
 
  • Thanks
Reactions: irk
Kwani Idrisa alisha alisha acha kula mzigo wa Wema?
 
  • Thanks
Reactions: irk
Huyo Joyce Wowowo ukimuoa watu wanakuona pimbi.
 
  • Thanks
Reactions: irk
Endelea kuota
She is too late to catch the flight, Opportunity is like a window that only stays open for a while, WEMA baby girl umechelewa, Hakuna Ndoa hakuna steady relationship, kichwa mbovu umesomeshwa vizuri ushamba umekusababishia uishie kuwa Jamvi la majaribio, huonekani kujifunza, lazima kuna shida, bahati mbaya sioni kama unayo maturity ya kutafuta solution. Huna confidence kwako maisha ni sex tu, kama vile huna viungo vingine, kichwa hakipo wala uso wa haya haupo. Mange Kimambi once gave you a powerful advise, alisema WEMA TULIA! utapata mume wa hadhi yako akimaanisha walau wa umri wako, you are not young anymore ni bibi bomba wewe sasa hawa wadogo zako waache wakajifunzie kwa vijana wenzao, wewe - too old nilifikiri habari ya vigoma ingekutoa kwenye hizo old habits, huna biashara, huna shughuli, hizo lipstick zingekua zinatoka si ungeshafungua duka Mlimani Mall? jifunze kwa Jackline Mengi, ametulia ameacha anapendeza, angalia Wema ngozi imechoka, uso umechoka, makalia yanatetemeka, sikusemi kudhalilisha nataka upone, gonjwa hilo
 
Baada Wema kuipaka sijui timu yake,mmrhamua kuleta hii habari.

Hakifichiki kitu, audio zipo swafiiiiiii
 
  • Thanks
Reactions: irk
Ahahaaaaaah...
Kweli ya dunia mengi...
Huyu Bwana leo anamnyapianyapia Wema Sepenga..!
Wakati kipindi hicho tupo nae Kurasini Sec School alikua NYUMBU tu..!
Dah..!!!
Aiseee mungu ana maajabu mno sasa kabadilika lini kuwa binadamu?!
 
sasa mbona huyo mume kavaa jinzi mbovu iliyochanika chanika magotini?!
isije kuwa mtanzania mmoja Kati ya watanzania wanne
 
Back
Top Bottom