Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

UV
Dada kahaba hilo kila siku Mpya ukimwi utamhusu tu
She is too late to catch the flight, Opportunity is like a window that only stays open for a while, WEMA baby girl umechelewa, Hakuna Ndoa hakuna steady relationship, kichwa mbovu umesomeshwa vizuri ushamba umekusababishia uishie kuwa Jamvi la majaribio, huonekani kujifunza, lazima kuna shida, bahati mbaya sioni kama unayo maturity ya kutafuta solution. Huna confidence kwako maisha ni sex tu, kama vile huna viungo vingine, kichwa hakipo wala uso wa haya haupo. Mange Kimambi once gave you a powerful advise, alisema WEMA TULIA! utapata mume wa hadhi yako akimaanisha walau wa umri wako, you are not young anymore ni bibi bomba wewe sasa hawa wadogo zako waache wakajifunzie kwa vijana wenzao, wewe - too old nilifikiri habari ya vigoma ingekutoa kwenye hizo old habits, huna biashara, huna shughuli, hizo lipstick zingekua zinatoka si ungeshafungua duka Mlimani Mall? jifunze kwa Jackline Mengi, ametulia ameacha anapendeza, angalia Wema ngozi imechoka, uso umechoka, makalia yanatetemeka, sikusemi kudhalilisha nataka upone, gonjwa hilo
Ubarikiwe kwa ushauri nzuri Sana, big up
 
  • Thanks
Reactions: irk
Kwa hiyo akiiba jina la mwisho.litasomeka wema salome maana calisa kajiremba kajipodoa kapodoka sio kwa urembo huo
 
  • Thanks
Reactions: irk
Wema alivyodanganya nchi nzima na nyumba ya mil400, na kudanganya kaolewa kumbe movie, sitokaa niamini habari yake hata moja!!!! Ni mwongo kupindukia!
Mwongo kuliko Recho Temu!
 
Wema alivyodanganya nchi nzima na nyumba ya mil400, na kudanganya kaolewa kumbe movie, sitokaa niamini habari yake hata moja!!!! Ni mwongo kupindukia!
Mwongo kuliko Recho Temu!
Anamzidi na Mange ambaye naye alikuwa anakataa kuwa kaachana na mumewe wakati ni kweli?

Au wote ndo walewale tu?
 
Wema alivyodanganya nchi nzima na nyumba ya mil400, na kudanganya kaolewa kumbe movie, sitokaa niamini habari yake hata moja!!!! Ni mwongo kupindukia!
Mwongo kuliko Recho Temu!
Utaenda kwenye harusi?
 
  • Thanks
Reactions: irk
Anamzidi na Mange ambaye naye alikuwa anakataa kuwa kaachana na mumewe wakati ni kweli?

Au wote ndo walewale tu?

I would understand Mange kama mama wa familia aliejaribu ku keep privacy ya ndoa kwa ajili ya watoto hadi mzungu alipoamua kwenda hadharani,
Ila huyu Wema ptuuuuuuu!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: irk
...jamaa anaeoa yuko wapi?..naona mademu tu kwenye Uzi huu...ama ni ndoa ya mishoga?
 
  • Thanks
Reactions: irk
Back
Top Bottom