Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

irk

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
486
Reaction score
388
Habari wapendwa..

Kwa taarifa nilizozinyaka hivi karibuni hukooo Instagram ni kuwa kipenzi cha wengi ( najua wengi mtabisha) si mwingine mrembo wetu Miss TZ 2006 na CEO wa kampuni ya ENDLESS FAME the one & only WEMA ABRAHAM ISAC SEPETU anaolewa hivi karibuni na model anaekuja kwa spidi ya 4G CALISAH ABDULHAMID.

Though hawaja comfirm wenyewe kuhusiana na habari hii ila nimejiongeza tu mwenyewe baada ya kuzinyaka picha hizi...

.

Kwa msio mjua uyo shemela we2 mpya na wa kudumu huyu hapa..

.

Kama habari hizi ni za ukweli basi si vibaya wa JF tukiwa wakwanza kumpongeza na kumtakia kila la kheri katika safari hii. [emoji4]
 
Ndoa inahitaji uvumilivu na utayari wa kuitumikia ndoa sababu inachangamoto nyingi. Hongera sana Wema Sepetu kwa maamuzi mazuri ya kupata stara.
 
Namkubali dana huyu jamaa kwenye lile tangazo la startimes
 
Reactions: irk
[emoji23][emoji23]co sir huyu drama qeen huwa ananichesha sana mbaya zaid mm huwa simuamin kbs alitudanganya nyumba,range ,mimba tena ya mapacha sasa na hili siamin ingawa ndoa ni jambo la heri ila camin mpk nione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…