Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?

Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

muache awachinje wakijipendekeza kwake.....
 
Ila according to Jokate mwenyewe amesema alikuwa kikazi zaidi, kwani walikuwa wanashoot video ya Wimbo mpya wa Diamond sijui unaitwa Mawazo. Hivyo ni vizuri ushahidi ukawekwa wazi kuliko kuchafuana, Je Wema aliwakuta live wakifanya mapenzi? Au Kisses tu?

JF= shigongo (global publishers)
 
JF= shigongo (global publishers)

Okada unamaanisha nini? Ina maana hutaki kupata Evidence wewe unaona ni sawa tu hii story ya upande mmoja? Wapi Diamond afunguke ilikuwaje haswa?
 
Namshauri sana wema ni muda wa kuangalia maisha zaidi kuliko mapenzi ajijenge tu kimaisha halafu mapenzi yatakuja baadae .shida yake kubwa anajitoa sana kwa wanaume kuliko anvyojitoa kimaisha .Ningependa ajiweke yeye kwanza then mwengine baadae .hii akisha achwa na huyu anahamia kwa huyu itazidi kumuumiza kwa ushauri zaidi nitafute wema .sio lazima uishi na ma super star wa kibongo .
 
No, no, not like that. just read it between the lines, you will understand....
 
Namshauri sana wema ni muda wa kuangalia maisha zaidi kuliko mapenzi ajijenge tu kimaisha halafu mapenzi yatakuja baadae .shida yake kubwa anajitoa sana kwa wanaume kuliko anvyojitoa kimaisha .Ningependa ajiweke yeye kwanza then mwengine baadae .hii akisha achwa na huyu anahamia kwa huyu itazidi kumuumiza kwa ushauri zaidi nitafute wema .sio lazima uishi na ma super star wa kibongo .

Halafu akishakuitafuta? Na wewe unataka kuunga tela????
 
Nilifikiri waliochanganyikiwa ni madereva daladala tu. Nimegundua Africa, watu wengi tumechanganyikiwa. Gambia Rais kachanganyikiwa eti anatibu AIDS kwa kutumia ndizi, hawa nao wamechanganyikiwa kama Rais wa gambia, na list goes on and on.
huku Arusha mbunge wa hapa kachanganyikiwa anaombea wafu wafufuke!
 
Namshauri sana wema ni muda wa kuangalia maisha zaidi kuliko mapenzi ajijenge tu kimaisha halafu mapenzi yatakuja baadae .shida yake kubwa anajitoa sana kwa wanaume kuliko anvyojitoa kimaisha .Ningependa ajiweke yeye kwanza then mwengine baadae .hii akisha achwa na huyu anahamia kwa huyu itazidi kumuumiza kwa ushauri zaidi nitafute wema .sio lazima uishi na ma super star wa kibongo .
Mwe!! Bongo kuna Masupataa siku hz?
 
hate to call women bitches but bitches loves it!

so we are bithches...including your mama, sisters, wife(s) and your daughter. you should be ashamed of yourself for such a stupid generalization
 
Hivi huyo Wema baada ya huo U miss Tanzania hakufanya lolote la maana zaidi ya kuhangaika na wabwanga? Maana nakumbuka hata taji lenyewe walitaka kumny'ang'anya. Kwa maana hiyo, kama hakufanya lolote na alitegemea kuuza u-super star wake, basi sasa kwisha! Chali kabisa kwa maana kuna Ma Miss wengi sana waliokoja baada yake.

Mwosha huoshwa.....punguza kelele dada Wema, ndio dunia hii
 
so we are bithches...including your mama, sisters, wife(s) and your daughter. you should be ashamed of yourself for such a stupid generalization

He has touched a wrong (live) wire....
 
Back
Top Bottom