Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Yule dada mrembo wema isack sepetu, madam, sepenga ambaye aliwah kuwa kada wa chadema na sasa kutimukia ccm amedai kuwa mkuu wa mkoa wa dar bwana paul makonda ni malaika aliyetumwa na mungu kuja kuwakomboa wanadamu

Hayo yamejir baada ya mkuu wa mkoa wa dar kumusaidia kijana ahmed kumpeleka china kwa matibabu kwa gharama zake mwenyewe

Wema amedai hakuna kama makonda na hatokaa atokee kama makonda

 
Daaah haujui km kuna tofauti ya mungu na Mungu aiseee, acha CCM itutawale tu
Umepotoshwa mshamba mkubwa wewe tofaut ya MUNGU na mungu iko moyon na kwenye matendo siyo kwenye maandiko

Acha kuisingizia ccm kwenye kila kitu maana kuna siku mkeo atapigwa miti na utaanza kulia lia na kuisingizia ccm
 
Khaaaaa huyu Wema mwaka jana si ndo alidai makonda anatesa na kuwadharirisha watu kipindi kile cha list ya wafanyabiashara ya madawa ya kulevya,leo tena kawa mzuri??
 
Kwa akili yako unaona kati ya mungu na Mungu kuna tofaut siyo
Mkuu Beira kuna tofauti kubwa sana kati ya mungu na Mungu.
mungu= na miungu
Mungu = ni yule waabudio kama baba wa mbinguni,hapo kwenye mungu hata yule professor Maji mafupi pia ni mungu wa wanaomwabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…