evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kwa akili yako unaona kati ya mungu na Mungu kuna tofaut siyo
Kwenye uandishi wa hayo maneno kuna tofauti kubwa Sana, Kwa Mimi ambaye nimesomea elimu yangu ya sekondari kwenye shule za seminary za kanisa katoliki Nina thread zangu huku jf nimemtaja Mungu.
Kwa protokali ya kanisa ,sehemu yeyote Ile neno Mungu lazima liandikwe Kwa herufi kubwa lote au herufi ya kwanza ianze Kwa herufi kubwa.
Huyo nadhani atakuwa mungu wake yeye na jamaa wenzake wasanii waliocheza muvi za god's must be crazy.
Manake utataka kuniaminisha Mungu Baba muumba wa Mbingu na Nchi ni sawa na yule wale jamaa waliocheza muvi hizo za god's must be crazy.
Mimi mtu akishashindwa kuandika neno Mungu ipasavyo namtoa maana kabisa.
Kwa hiyo unataka kutumaanisha mungu wa kwenye god's must be crazy ni sawa kabisa na Mungu wa kanisani?
Acheni ubashite wenu zero in paper kweli ni zero in brain.
Halafu kumbe wewe Beira Boy ndio lemutuz.
Acha kujizidharaulisha mtu mzima hovyo.