Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

Wema na bashite kitu kinachowaunganisha wote hawana vizazi, inabidi wafungue chama chao!
 
Mwanamke akiwa hana akili, kuna viungo vingine ndio lazima viumie
 
Umepotoshwa mshamba mkubwa wewe tofaut ya MUNGU na mungu iko moyon na kwenye matendo siyo kwenye maandiko

Acha kuisingizia ccm kwenye kila kitu maana kuna siku mkeo atapigwa miti na utaanza kulia lia na kuisingizia ccm
Mkuu sio mkrwe tu anaweza dungwa hata yeye mwenyewe akaisingizia ccm
 
Fanya mchezo na bashite....mama alimbia mjii .....na yeye kesi inasoteshwa wakati hizi kesi zote za wenzake zimeisha ..angebaki chadema angekwenda kunyea ndoo keko.
Musione rahisi nchii hii kuliko North Korea.....mnatishwa familia nzima
 
Back
Top Bottom