Binadam ni dynamic na sio static. Attitude na mawazo yake yanabadilika kulingana na external Inputs. Kwa vile tuna kuwa controlled na hormones hiyo ni kawaida kubadilisha mwelekeo. Kama dada yetu alivyo fanya.
Kwa vile Hormones ni Chemical substances impact yake kwenye system
ina vary kulingana na quantity na concetration yake kwenye acceptors ambazo zinapeleka Informations kupitia nerves kwenye ubongo ambao una react na kutoa results kama hizi. Na kwa vile ubongo wetu ni mkubwa kuliko viumbe wengine wote duniani, umekuwa very sophisticated kiasi kwamba matatizo makubwa tunayo kabiliana nayo kimaisha tuweze kuya solve kulingana na badaliko yake.
Maisha ni Challenge! Ndiyo maana within a short periode tumetoka kuishi kwenye mapango ya Oldonyo Lengai na kujenga Skyscrapers za Manhattan.
Kwa mimi kitendo cha Wema sioni maajabu. Hii inaonyesha kuwa huyo ni binadam halisi na mwenye msimamo. Hizo ni characteristics au sifa za kuitwa binadam. Binadam ana react na kujitathmini. Akiona amekosea somewhere ana jaribu ku-correct makosa yake. Watu kama hawa ni very intelligent.
Watu wasio penda kujitathmin ni dumm wa maisha. Inaonyesha ubongo wao haujawa sophisticated enough kuweza kupambanua Challenges za maisha ili kuweza ku-survive. Watu wa Category hii katika manzingira mapya hawawezi ku survive wanakufa. Watu kama Wema Sepetu wata-survive.
Vinginevyo tunge kuwa kama simba ambao miaka na miaka hutumia methodes zile zile za uwindaji.
Sorry nimeona darasa kidogo!