Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

Huyo Wema tatizo lake hana MSIMAMO na HAJIAMINI kwa kila jambo, ndiyo maana anakuwa anazunguka tu kila kona.

Atulie pamoja tu ili jina lake liwe na heshima kama zamani. Ili hata akiongea neno liweze kusikilizwa kwa makini.

Mwanamke Mzuri ukikosa msimamo utapigwa danadana tu.
 
Huyu ni malaika wake wa duniani aliyetumea na mungu wa duniani
 
90% ya uzi ni matusi....any way mliochangia mpo vizuri
 
Kwa nini atumie gharama zake wakati ni wajibu wa serikali na wanadai serikali ina pesa nyingi?
Hapo tunatofautishaje kati ya bashite na mkuu wa mkoa wa dar?
 
Huyu mwanamke siku hizi naona kazidi kuvurugwa
Wala hajavurugwa anacheza na akili ya kolomije, watu wa pande zile ukiwasifia tu hata kwa uongo utakula mema ya nchi
 
Khaaaaa huyu Wema mwaka jana si ndo alidai makonda anatesa na kuwadharirisha watu kipindi kile cha list ya wafanyabiashara ya madawa ya kulevya,leo tena kawa mzuri??
Binadam ni dynamic na sio static. Attitude na mawazo yake yanabadilika kulingana na external Inputs. Kwa vile tuna kuwa controlled na hormones hiyo ni kawaida kubadilisha mwelekeo. Kama dada yetu alivyo fanya.

Kwa vile Hormones ni Chemical substances impact yake kwenye system
ina vary kulingana na quantity na concetration yake kwenye acceptors ambazo zinapeleka Informations kupitia nerves kwenye ubongo ambao una react na kutoa results kama hizi. Na kwa vile ubongo wetu ni mkubwa kuliko viumbe wengine wote duniani, umekuwa very sophisticated kiasi kwamba matatizo makubwa tunayo kabiliana nayo kimaisha tuweze kuya solve kulingana na badaliko yake.

Maisha ni Challenge! Ndiyo maana within a short periode tumetoka kuishi kwenye mapango ya Oldonyo Lengai na kujenga Skyscrapers za Manhattan.

Kwa mimi kitendo cha Wema sioni maajabu. Hii inaonyesha kuwa huyo ni binadam halisi na mwenye msimamo. Hizo ni characteristics au sifa za kuitwa binadam. Binadam ana react na kujitathmini. Akiona amekosea somewhere ana jaribu ku-correct makosa yake. Watu kama hawa ni very intelligent.

Watu wasio penda kujitathmin ni dumm wa maisha. Inaonyesha ubongo wao haujawa sophisticated enough kuweza kupambanua Challenges za maisha ili kuweza ku-survive. Watu wa Category hii katika manzingira mapya hawawezi ku survive wanakufa. Watu kama Wema Sepetu wata-survive.

Vinginevyo tunge kuwa kama simba ambao miaka na miaka hutumia methodes zile zile za uwindaji.

Sorry nimeona darasa kidogo!
 
Umepotoshwa mshamba mkubwa wewe tofaut ya MUNGU na mungu iko moyon na kwenye matendo siyo kwenye maandiko

Acha kuisingizia ccm kwenye kila kitu maana kuna siku mkeo atapigwa miti na utaanza kulia lia na kuisingizia ccm
Easily tempered...!
 
Back
Top Bottom