Wema Sepetu afunguka kuhusu siri ya utajiri wake

Inawezekana ikawa ni kweli maana Madam Wema Sepetu ni mtu mmoja msiri sana anamiliki hotel ya 5 star ipo lagos Nigeria Inaitwa Wheatbaker Hotel kuna nyumba 2 ambazo hazijakamilika zipo Zanzibar kuna nyumba ya kigogo wa ccm ipo masaki nayo anataka kuichukua nadhani mipago ishafikia hatua za mwisho! kuna kampuni ya magari ya abiria yaendao mkoani Arusha napo ana hisa za kutosha!! sema mambo mambo ya scandal ndiyo hanamharibu
 
kuna watu wanapenda kufagilia maiti

Pwanyaroad ni shida utajiri ambao hauonekani ndio wanausifia.zile hela alikua anachezea z ck kweli alikua na uwezo wa kujenga nyumba yake nzuri tu ila ndio hvyo akili zake kma pwanyaroad wenzie
 
waulize NHC kama hata banda hana...
Bandugu tunajua power of nyapu ni hatari ila sio wema istoshe ukishkwa shikamana sio unakalia kula hela 2 huna hata kibanda.kma utajiri n kupanga nyumba na magari kweli wema tajiri
 
hayo yote kaandikiwa tu, yeye hana hizo akili za kuandika haya, au kacopy mahali, bongo bhana et wema ni tajiri??
 
hayo yote kaandikiwa tu, yeye hana hizo akili za kuandika haya, au kacopy mahali, bongo bhana et wema ni tajiri??

naomba niulize,Tajiri tanzania ni mtu wa aina gani? sababu mbona ata wenye baskeli na pikpik usema ni za matajiri wao
 
Mkuu acha utani bhana!..
 

na inawezekana ikawa si kweli...
 
ukumbuke ana nyumba ya thamani zaidi ya million 400,na magari ya kifahari na kampuni pia ni pedesheee uwa anagawa pesa kwenye mabendi,hapo bado ujamuita tajiri,huyo angekuwa arusha ni trillionea kabisa

jina na adress tafadhari
 
Kwa life standard ya Kitanzania pengine akawa ni tajiri...

Kuwa na mjengo, magari mawili matatu n.k kibongo bongo ni mtu tajiri huyo

Then hata mimi ni tajiri sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…