rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
ipo Kijitonyama alisema ya kwake alininunua
Na aliyemuuzia akakataa pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo Kijitonyama alisema ya kwake alininunua
Maajabu 7 ya dunia ndio hayo wema tajiri?í-½í²¡í-½í²¡í-½í²¡í-½í²¡
kuna watu wanapenda kufagilia maiti
Bandugu tunajua power of nyapu ni hatari ila sio wema istoshe ukishkwa shikamana sio unakalia kula hela 2 huna hata kibanda.kma utajiri n kupanga nyumba na magari kweli wema tajiri
waulize NHC kama hata banda hana...
hayo yote kaandikiwa tu, yeye hana hizo akili za kuandika haya, au kacopy mahali, bongo bhana et wema ni tajiri??
Do not underestimatenthe power of nyapu mixer with manyaunyau
waulize NHC kama hata banda hana...
Do not underestimatenthe power of nyapu mixer with manyaunyau
Mkuu acha utani bhana!..Inawezekana ikawa ni kweli maana Madam Wema Sepetu ni mtu mmoja msiri sana anamiliki hotel ya 5 star ipo lagos Nigeria Inaitwa Wheatbaker Hotel kuna nyumba 2 ambazo hazijakamilika zipo Zanzibar kuna nyumba ya kigogo wa ccm ipo masaki nayo anataka kuichukua nadhani mipago ishafikia hatua za mwisho! kuna kampuni ya magari ya abiria yaendao mkoani Arusha napo ana hisa za kutosha!! sema mambo mambo ya scandal ndiyo hanamharibu
Si anayo nyumba ya millioni 400 kijitonyama?
inawezekana ikawa ni kweli maana madam wema sepetu ni mtu mmoja msiri sana anamiliki hotel ya 5 star ipo lagos nigeria inaitwa wheatbaker hotel kuna nyumba 2 ambazo hazijakamilika zipo zanzibar kuna nyumba ya kigogo wa ccm ipo masaki nayo anataka kuichukua nadhani mipago ishafikia hatua za mwisho! Kuna kampuni ya magari ya abiria yaendao mkoani arusha napo ana hisa za kutosha!! Sema mambo mambo ya scandal ndiyo hanamharibu
ukumbuke ana nyumba ya thamani zaidi ya million 400,na magari ya kifahari na kampuni pia ni pedesheee uwa anagawa pesa kwenye mabendi,hapo bado ujamuita tajiri,huyo angekuwa arusha ni trillionea kabisa
Si anayo nyumba ya millioni 400 kijitonyama?
Wema sepetu tajiri?????
Kwa life standard ya Kitanzania pengine akawa ni tajiri...
Kuwa na mjengo, magari mawili matatu n.k kibongo bongo ni mtu tajiri huyo
jina na adress tafadhari