Wema Sepetu afunguka kuhusu siri ya utajiri wake

Kweli tz ni noma kumbe wema ni tajiriiiiiiiiiiiiiiiii
 
hela wema anayo wanaomponda humu ni wale kushona sare ya harusi labda bi harusi/ bwana harusi ajitolee. loo yakubadilisha mboga wema anayo.
 
mi naona mngeweka picha tuzione hizo mali zinazomfanya aitwe tajiri
 
Kwa hyo nae anakula sahani moja na akna Bill Gates au?
 

Ndo Wema amefunguka??? Watu wengne hovyo kbs, title is east and contents west...!!!
 
Yaan nimewah kuja kujua hiyo sirii loooo
 
Wema ana utajiri wa FREE PAPUCHI...!!! selling it at current market value, but with back door adding more value...!!! hana utajiri zaidi ya huo..!!
 
duuh,
mi nikajua atasema umetokana na kutokuzaa kwake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…