Wema sepetu akifa tutamkumbuka kwa lipi?

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Tumeshuhudia mastaa kadhaa waliotutoka na kuacha simanzi kubwa kwa watanzania kutokana na umahiri wa kazi zao eg. Kanumba aliliza wengi kutokana na ukali wake kwenye filamu,Ngwea aliliza wengi kutokana na unoma wake kwenye michano(Rap),n.k.Nimejaribu kujiuliza swali hilo kwa 'Superstaa' wetu ambaye haiwezi kupita siku bila kusikia habari zake bibie Wema Sepetu ni kipi alichotufanyia watanzania kitachofanya tumkumbuke kama hao niliowataja?
 
Wema Sepetu atakumbukwa kwa kuwa ni mwigizaji mahiri na anayeishi maisha ya juu kuliko wanawake wote Tanzania!!!!
 
Wema Sepetu atakumbukwa kwa kuwa ni mwigizaji mahiri na anayeishi maisha ya juu kuliko wanawake wote Tanzania!!!!

Sidhani hata kama amekaribia kuwa na hadhi ya kuitwa 'muigizaji mahiri' labda hilo jingine inaweza kuwa sahihi
 
Sidhani hata kama amekaribia kuwa na hadhi ya kuitwa 'muigizaji mahiri' labda hilo jingine inaweza kuwa sahihi

Kwa taarifa yako Wema Sepetu ndiyo "The Best Actress in Tanzani cheki filamu zake kama;Red Valentine,Crazy Tenant,House Boy,Madame na nyinginezo!!!!
 
Atakumbukwa kama former miss tz 2006.. Mwaka 2007 wakati anamkabithi crown Richa Adhia miss tz mwakahuo alisema " Once your a miss Tanzania you will always be"
 
Kwa taarifa yako Wema Sepetu ndiyo "The Best Actress in Tanzani cheki filamu zake kama;Red Valentine,Crazy Tenant,House Boy,Madame na nyinginezo!!!!

unatumia vigezo gani kumpa huo "u-best actress" na una mshindanisha na nani?

Mama Tekla Mjata, Amandina Lihamba na Penina Mlama ni manguli wa maigizo kwa enzi zao, sidhani kama Wema ana uwezo hata theluthi yao.

Kwa taarifa yako Wema Sepetu ndiyo "The Best Actress in Tanzani cheki filamu zake kama;Red Valentine,Crazy Tenant,House Boy,Madame na nyinginezo!!!!
 
Wema ni amateur kama hao bongo movie wengine.
Sio muigizaji ila anajaribu kuigiza.
 
Maisha ya huyo ni kielelezo cha malezi na makuzi aliyopitia. Ukichunguza kwa undani unaweza kuta yeye ni kahaba dagaa,mapapa yapo kimyaa kwa sababu hayajurikan.Mtoto wa kahaba ni kahaba
 
Atakumbukwa kama former miss tz 2006.. Mwaka 2007 wakati anamkabithi crown Richa Adhia miss tz mwakahuo alisema " Once your a miss Tanzania you will always be"
Mamiss kibao wamepita tumewasahau kiasi kwamba wengine wakifa watu hata hawastuki so umiss sio ishu sana,kinachofanya Wema awe hot hadi leo hii kwenye medias sio umiss bali ni mambo yake tu(skendo),sio umiss wala kazi anazozifanya.Kinachonishangaza ni kuona eti ana mashabiki kuliko wasanii wa kweli kama Thea,Monalisa,Johari,etc.Hii ndo Bongo bwana!
 
JIULIZE KWANZA WW.. UKFA UTAKUMBUKWA LIPI... wema alkua miss Tz 2006...
 
Refer to the topic hata akiwa malaya wa meeda bado tittle yake ni miss tanzania hata akifa tittle yake itasema former miss Tanzania hata asipotajwa kuwa msanii wa bongo movie.
 
Tutamkumbuka kwa kubadilisha mabwana kama nguo....ujue kubadilisha migegedo nacho ni kipaji...kila mtu na swaga zake pale kati.
 
Kwa taarifa yako Wema Sepetu ndiyo "The Best Actress in Tanzani cheki filamu zake kama;Red Valentine,Crazy Tenant,House Boy,Madame na nyinginezo!!!!

Wewe nais umepotea njia, johar mwenyew tu hamfikii maan nikimtaj monalisa nitamuonea , maan at tuzo ya uigizaj chipukiz hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…