Wema sepetu akifa tutamkumbuka kwa lipi?

Wema sepetu akifa tutamkumbuka kwa lipi?

mleta mada sidhan kama hii mada ni nzuri,ambacho wewe unaona kibaya ndo wenzako wanaona ni kizuri so kuna mada nyngne yabd ujipime kwanza
 
Tutamkumbuka kama the one and only miss TZ ambaye kwel umaarufu wake hauchuji,mtt aliyeipaisha juu nyota ya diamond..
 
huyu dem atazikwa sana.. tena kama sikosei msiba wake utarushwa LIVE na tv, kama sio clouds,EATV.
 
Back
Top Bottom