kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
Tumeshuhudia mastaa kadhaa waliotutoka na kuacha simanzi kubwa kwa watanzania kutokana na umahiri wa kazi zao eg. Kanumba aliliza wengi kutokana na ukali wake kwenye filamu,Ngwea aliliza wengi kutokana na unoma wake kwenye michano(Rap),n.k.Nimejaribu kujiuliza swali hilo kwa 'Superstaa' wetu ambaye haiwezi kupita siku bila kusikia habari zake bibie Wema Sepetu ni kipi alichotufanyia watanzania kitachofanya tumkumbuke kama hao niliowataja?