Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
- Thread starter
-
- #61
Unamaanisha watamnaniliu kwa mkopo??watamtapeli
ndiyo mana yake yale machalii ya kule pesa yao ngumuUnamaanisha watamnaniliu kwa mkopo??
Halafu wasimlipe??
drama queeen!Amewakimbia wanaume wa Dsm
Btw...huwa nashangaa sana pale Wema anapoitwa "Malkia wa Filamu"
Filamu zipi hizo?
Nina vidole vyembamba vifupi ila namshukuru Allah huku chini mzigo ni majaaliwa si mchezo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli nimeshalifanyia utafiti zaidi ya miaka 20 kwa sampling zisizozidi 1000! Wanaume ni vidole sio modomo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ni ulemavu basi hivi vitu huenda kwa uwiano [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nina vidole vyembamba vifupi ila namshukuru Allah huku chini mzigo ni majaaliwa si mchezo.
Wa hukohuko ila aliharibiwa na wavulana wa dar kwani ilikuwa ndio company yake.Huyu aliemalizana nae juzi juzi wa wapi?
Siku baada ya siku wanaume wanaishaDaah kwenye hizo comments hadi watoto wakiume wameandika huku wakideka..hatari
Alafu mtoto mdogo I seeNajua mm nimesoma insta uko anaishi moshi sijui arusha ni billionaire
Sanaaa si ana hela eti wema kasema alikua mc [emoji23] [emoji23]Alafu mtoto mdogo I see
Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai yeye mwenyewe.
Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha ameonyeshwa kuvutiwa na jiji la Arusha na kuamua kuwarusha roho mashabiki wake kwa kuwaambia kwamba hatarudi tena Dar es salaam.
“My shouger nikimpenda hovyooo, kweli watu tumetoka mbali, huyu ndiye atakayenifanya nihamie Arusha kwakweli,” aliandika Wema katika picha hiyo hapo juu akiwa na rafiki yake.
Kadiri siku zinavyozidi kwenda mrembo huyo anaonyesha kuendelea kuvutiwa mji wa Arusha.
“Nirudie nini Dar mie, kurudi Dar majaliwa, na sirudi Dar ng’o,” aliandika Wema katika ujumbe wake wa pili.
Hata hivyo uwamuzi huyo umepokewa tofauti na baadhi ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.
Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki wake.
Hopeolivier24
Dar bila Wema Itawezekana kweli? Itakuwa manispaa maana jiji unaliamishia Arusha
Zai_miss
Kwaiyo ushahamia arusha jamani khaaaa vigoma vyako itakuwaje My mmmh ila umefanya lamaana maana bongo kwa moto arusha Baridi kishezi
Theonerealdully
Utarudi tuu. Watu wa dar miji mingine hamuiwezi hekaheka zenu na mafoleni mwayapenda hivyohivyo
Andymsalali
jamn kwann, rudi bhana, tumekuzoea wenyew kukuona dar
Zeyaabdallah
Wema Rudi home coz matatizo hayakimbiwi dadaangu mpenz Wang.sawa Bali unatakiwa uyakabi
Source: Bongo5
Hahahaa Malaya hata akienda kanisani huonekana kaenda kutega teh teh teh!!Sanaaa si ana hela eti wema kasema alikua mc [emoji23] [emoji23]
Hahaahhh vile vihiace vya njiro ni sheedaMwambieni huku hakuna hakuna bajaj wala coaster, ni mwendo wa vi ford/daladala na za njiro ndo mbovu full tetenus(pepopunda) ukijikwaruza
Anakuwekeaga mavitu ww furaia hvohvyoHiyo kweli kabisa,kuna papuchi IPO ara chuga niikiikumbuka huwa nafunga safari.Pamoja na uzee huu bao 3 sikosi mnato balaa mwanzo mwisho