Wema Sepetu akimbia Dar, ahamia Arusha mazima

Wema Sepetu akimbia Dar, ahamia Arusha mazima

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli nimeshalifanyia utafiti zaidi ya miaka 20 kwa sampling zisizozidi 1000! Wanaume ni vidole sio modomo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nina vidole vyembamba vifupi ila namshukuru Allah huku chini mzigo ni majaaliwa si mchezo.
 
wazee wa madini wanaenda kutumia used spare parts!
 
Wana wake wachuga wababe akiwaibia waume zao wata muharibu sura na makalio, uyu demu shamba la bibi kwa kudanga mpaka mkoani habakishi kitu
 

Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai yeye mwenyewe.

Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha ameonyeshwa kuvutiwa na jiji la Arusha na kuamua kuwarusha roho mashabiki wake kwa kuwaambia kwamba hatarudi tena Dar es salaam.

“My shouger nikimpenda hovyooo, kweli watu tumetoka mbali, huyu ndiye atakayenifanya nihamie Arusha kwakweli,” aliandika Wema katika picha hiyo hapo juu akiwa na rafiki yake.

Kadiri siku zinavyozidi kwenda mrembo huyo anaonyesha kuendelea kuvutiwa mji wa Arusha.

“Nirudie nini Dar mie, kurudi Dar majaliwa, na sirudi Dar ng’o,” aliandika Wema katika ujumbe wake wa pili.

Hata hivyo uwamuzi huyo umepokewa tofauti na baadhi ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.

Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki wake.

Hopeolivier24

Dar bila Wema Itawezekana kweli? Itakuwa manispaa maana jiji unaliamishia Arusha

Zai_miss
Kwaiyo ushahamia arusha jamani khaaaa vigoma vyako itakuwaje My mmmh ila umefanya lamaana maana bongo kwa moto arusha Baridi kishezi

Theonerealdully
Utarudi tuu. Watu wa dar miji mingine hamuiwezi hekaheka zenu na mafoleni mwayapenda hivyohivyo

Andymsalali
jamn kwann, rudi bhana, tumekuzoea wenyew kukuona dar

Zeyaabdallah
Wema Rudi home coz matatizo hayakimbiwi dadaangu mpenz Wang.sawa Bali unatakiwa uyakabi

Source: Bongo5


Furaha ya huyu bidada ni kuongelewa kama hivi ufanyavyo wewe, yaani unataka kuniambia mpaka leo bado hujamjua huyu bi dada? Sikazi naandika haya mwenzio kisharudi Dar na yuko anatafuta mwanaume mwingine wa kumtoa kafara na kumchezea akili kama kale kayanki ka Big Brother.
 
Mwambieni huku hakuna hakuna bajaj wala coaster, ni mwendo wa vi ford/daladala na za njiro ndo mbovu full tetenus(pepopunda) ukijikwaruza
Hahaahhh vile vihiace vya njiro ni sheeda
 
Hiyo kweli kabisa,kuna papuchi IPO ara chuga niikiikumbuka huwa nafunga safari.Pamoja na uzee huu bao 3 sikosi mnato balaa mwanzo mwisho
Anakuwekeaga mavitu ww furaia hvohvyo
 
Back
Top Bottom