Na kitu cha miraaaaRey C aliendaga Arusha kumfuata Rord Eyes akajifunza na unga sasa kawa teja,huyo cjui Wema atarudi anakula ugal na bangi
Ally hawezi kuchukua huo mfupa itakua maneno ya watu tuAlafu mtoto mdogo I see
Unamsemea wewe!Ally hawezi kuchukua huo mfupa itakua maneno ya watu tu
wanaume wa dar mkuu!Daah kwenye hizo comments hadi watoto wakiume wameandika huku wakideka..hatari
DSM soko lake limeshuka wacha ajaribu na huko
Mmm thubutu kwa shape hakuna mzungu wa kwenda paleSasa hivi tutasikia kaolewa na mzungu mzee/mtalii.
[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] na kwanini kwa mwanaume iwe vidole isiwe mdomo ? Yaani nikipata majibu ya hayo maswali nitafurahi
aiseeee bestito nimekutafuta kama nyasi za ikulu kumbe uko huku aiseee hebu njoo kule kwenye jukwaa letu pendwaUmeonana na HoE? Maana anakutafuta kaja mpaka huku kijijini
CC Heaven on Earth
tuletee mpya basi maana huyu hana jipya sasa akapumzike tu huko chugaNimeona binamu, naona kimemuuma,naye huyu tushamchoka, eeh VP umesikia umbea Wa lulu
Sijasikia hebu nipeeeeeeeeeeeee nivimbe mieeNimeona binamu, naona kimemuuma,naye huyu tushamchoka, eeh VP umesikia umbea Wa lulu
Yuko njiro anaishi na rafiki yake.Amehamia arusha sehem gan? nataka nimfuate nipige nae picha