Wema Sepetu akimbia Dar, ahamia Arusha mazima

Wema Sepetu akimbia Dar, ahamia Arusha mazima

Ally dem wake anakaba kuliko CIA ....wadada wa twn wamejaribu imeshindikana ila mpambe wke ndio anaweza kua n bibie
 
Vigogo hawana kitu mjini mjomba Magu kakaba kila angle, yule wa ikulu si muuza chipsi siku hizi. Arusha wenye pesa sio watu wa serikali.
 
Juzi jumamosi tulikuwa nae Sky club Philipps. Pembeni alikuwa na bilionea wa Arusha!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] na kwanini kwa mwanaume iwe vidole isiwe mdomo ? Yaani nikipata majibu ya hayo maswali nitafurahi
[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ukisoma comment za hao watu hapo utakua tu watanzania ni watu wa aina gani!!
 
Watu wa Arusha bhana kwa kujifanya babu kubwa, eti Arusha hatapaweza, wanaongea utafikiri ni Hollywood kumbe ni machafuchafu tu.
 
Kukimbia wanaume wa Dar alianza Shilole, sasa na Wema kafuata naona na wengine watafanya hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom