Wema ana mupelekea kijana wa watu gundu. Wenzake machangu waliweza kujijenga kimaisha ila Wema yeye anasuguliwa tu.
Wataishia kumuuaNgoja na mabilionea uchwara wa arusha nao watapeliwe
Kumbe haujakaa Chuga Bora Hiace za njiro mara kumi kuna hizo za kijenge mwanama relini au Ungalimited duh!! ni shida gari kila kona limechomelewa na welding linapiga kelele mbaya mpaka hasira hauwezi hata kuweka earphone masikioni
Huu ubuyu niliusoma nikaupotezea tu.Yupo kwa ally bilionea wa Arusha naskia mtu wa mawe ndo habari zilizopo
Team yake imejinadi mama ubaya alikuwa MC kwa party hiyo lakini pic tztheshaderoom anatuma bibie kaka na baby birthday pembeni sijui MC wa wapi wanakaa na mwenye tafrija huku sherehe inaendeleaHuu ubuyu niliusoma nikaupotezea tu.
Naona Tztheshaderoom anaukomalia sana.
Mwenzangu mwenyewe nilichoka.Team yake imejinadi mama ubaya alikuwa MC kwa party hiyo lakini pic tztheshaderoom anatuma bibie kaka na baby birthday pembeni sijui MC wa wapi wanakaa na mwenye tafrija huku sherehe inaendelea
MC wa mwendo kasi huyu
Hakuna sijaona picha yake ya kushika micMwenzangu mwenyewe nilichoka.
Hivi kuna picha akiwa japo kashika Mic?
Au shughuli hiyo ya birthday ya kufuru iliendeshwa kwa 'koo kavu'?
ahahaha mwekezaji wa ndani. Tanzania ya viwandaNadhani anaenda kuekeza.
Lulu akiamua kumshika bwana anamshika kweli.Hakuna sijaona picha yake ya kushika mic
Mjini ukizaliwa we tayari graduate sasa mwenzetu alidisco mambo yake anafanya kitoto
Inabidi aende kwa lulu akamfunde
Ndio inavyohitajika ukiamua kufanya ushetani fanya kwa 100% na uwe na malengo unafanya ili upate nini sasa yeye anataka airtime tu ataishia kama Ray C jina kubwa maendeleo ZeroLulu akiamua kumshika bwana anamshika kweli.
Japo anatumia njia haramu lakini yuko vizuri.
Cammoon ManWatu wa Arusha bhana kwa kujifanya babu kubwa, eti Arusha hatapaweza, wanaongea utafikiri ni Hollywood kumbe ni machafuchafu tu.
Juzi jumamosi tulikuwa nae Sky club Philipps. Pembeni alikuwa na bilionea wa Arusha!
Umerudi kumbe?aiseeee bestito nimekutafuta kama nyasi za ikulu kumbe uko huku aiseee hebu njoo kule kwenye jukwaa letu pendwa
huku waachie akina lara1 bwanaaa (jokes)
Ungeioa kabisaa mkuu ukawa nayo yoteyote[emoji12]Hiyo kweli kabisa,kuna papuchi IPO ara chuga niikiikumbuka huwa nafunga safari.Pamoja na uzee huu bao 3 sikosi mnato balaa mwanzo mwisho