Wema Sepetu akimbia Dar, ahamia Arusha mazima

Wema Sepetu akimbia Dar, ahamia Arusha mazima

Kumbe haujakaa Chuga Bora Hiace za njiro mara kumi kuna hizo za kijenge mwanama relini au Ungalimited duh!! ni shida gari kila kona limechomelewa na welding linapiga kelele mbaya mpaka hasira hauwezi hata kuweka earphone masikioni

Ata wewe upajui arusha kapande vifodi vya kwenda sanawari ya juu na kiding'a kuna vinavyopaki nyuma ya stadium na vya kwenda nguseroo weeee utafrai
 
Huu ubuyu niliusoma nikaupotezea tu.
Naona Tztheshaderoom anaukomalia sana.
Team yake imejinadi mama ubaya alikuwa MC kwa party hiyo lakini pic tztheshaderoom anatuma bibie kaka na baby birthday pembeni sijui MC wa wapi wanakaa na mwenye tafrija huku sherehe inaendelea
MC wa mwendo kasi huyu
 
Mwenzangu mwenyewe nilichoka.
Hivi kuna picha akiwa japo kashika Mic?
Au shughuli hiyo ya birthday ya kufuru iliendeshwa kwa 'koo kavu'?
 
Mwenzangu mwenyewe nilichoka.
Hivi kuna picha akiwa japo kashika Mic?
Au shughuli hiyo ya birthday ya kufuru iliendeshwa kwa 'koo kavu'?
Hakuna sijaona picha yake ya kushika mic
Mjini ukizaliwa we tayari graduate sasa mwenzetu alidisco mambo yake anafanya kitoto
Inabidi aende kwa lulu akamfunde
 
Hakuna sijaona picha yake ya kushika mic
Mjini ukizaliwa we tayari graduate sasa mwenzetu alidisco mambo yake anafanya kitoto
Inabidi aende kwa lulu akamfunde
Lulu akiamua kumshika bwana anamshika kweli.
Japo anatumia njia haramu lakini yuko vizuri.
 
Lulu akiamua kumshika bwana anamshika kweli.
Japo anatumia njia haramu lakini yuko vizuri.
Ndio inavyohitajika ukiamua kufanya ushetani fanya kwa 100% na uwe na malengo unafanya ili upate nini sasa yeye anataka airtime tu ataishia kama Ray C jina kubwa maendeleo Zero
 
Kutoka arusha kwenda Dodoma si ni karibu ukipitia kondoa. Na yeye hawezi sema anahamia Dodoma km naniiiii apana ataitwa shebube gota,kumbuka ndege za ithopia zinapoeenda Dubai lazima zitue kwanza Ethiopia, kwahiyo wema sio laafa
 
aiseeee bestito nimekutafuta kama nyasi za ikulu kumbe uko huku aiseee hebu njoo kule kwenye jukwaa letu pendwa
huku waachie akina lara1 bwanaaa (jokes)
Umerudi kumbe?
Habari za huko ulikokuwa?
Umewaacha mabestito wazima?
Emb ijeleze kwanza, ulieanda wapi?
 
wafanye vya maana basi sio kuwekeza kwenye nywele na kucha. wajinga sana hawa ma star wakike. la maana hakuna kujisifia mavazi ndio kwao la maana.
 
Sasa kweli nimeamini hali ya uchumi imebana kisawasawa.

Hii awamu ya Magu mbona itakimbiza wengi.
 
Back
Top Bottom