Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Me naona ifike kipindi kila mtu awe na maisha yake
Huna maisha yako, maisha ulipata kutoka kwa jamii iliyokuleta duniani kila mtu ni matokeo ya jamii aliyoikuta kwa hiyo kuna vitu jamii ina haki ya kuvisimamia ili jamii iendelee kuwepo waje duniani na wengine kama ulivyokuja wewe.
 
Tatizo ubadiriki ww ni kio cha jamii watanzania wengi tunawatazama wasanii badala ya kutunga picha za mafundisho,kumbuka hata watoto wadogo wanawatazama Kwa Nn unakua hivyo mashabiki wako tunakupenda sana lakini ww ujipendi shauri lako.
 
huwezi kuomba radhi na kujuta kuwachefua watu halafu ukasema "nashukuru hili limetokea"!

umaarufu bila shule na upeo ni balaa kubwa
 
Siku zote huwa nasema kuna watu ukiendekeza wanayoyafanya kuna siku watafanya utumbo ambao dunia itawashangaa,huyu mama kuna nyakati najiuliza ana mchango gani chanya kwenye jamii hata kupewa nafasi kwenye matangazo na vyombo vya habari kwa kiwango tunachoshuhudia,matokeo ya huu uendekezaji wetu ndiyo haya sasa,ni vyema akapuuzwa kwa kila hali ili ajifunze,ni mtazamo wangu
 
Hicho kibinti sijui kina matatizo gani. No Wonder ......... Eti utoto? Utoto miaka 30? She must be an imbecile
 
Tatizo ubadiriki ww ni kio cha jamii watanzania wengi tunawatazama wasanii badala ya kutunga picha za mafundisho,kumbuka hata watoto wadogo wanawatazama Kwa Nn unakua hivyo mashabiki wako tunakupenda sana lakini ww ujipendi shauri lako.
Ana nyota ya dudu, by WEUSI
 
Haya matukio ya akina Wema ndo yanauza kwenye Media Kwa Sasa.

Nenda YouTube Video ya Wema akiomba Radhi Viewers 50K.

Halafu Video ya Waziri akifungua Mradi wa maendeleo Viewers 10k

.... Hawa ndo Watanzania wenyewe
hhahahahahhahahahahaaaa
 
Back
Top Bottom