Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Mwigizaji Wema Sepetu, leo Oktoba 25 ameomba radhi akisema video na picha zake chafu zilizoenea mtandaoni zimesababisha usumbufu kwa mamlaka za Serikali na Watanzania kwa ujumla.

Katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika nyumbani kwa mama yake, Sinza jijini Dar es Salaam, Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 amesema kuenea kwa picha na video hizo kumetokana na utoto.

Wema aliyeonekana kuwa mtulivu amesema: “Kuenea kwa picha hizo kumetokana na upumbavu na utoto wangu, ninawaahidi Watanzania kuwa hilo halitatokea tena naomba radhi kwenu wote.”

Huku akisoma maelezo hayo yaliyoandikwa katika karatasi mbili, Wema alisema hakuna mwingine wa kulaumiwa kwa kuenea kwa picha na video hizo lakini anaomba asamehewe kwa kitendo hicho.

Pembeni akiwa amesimamiwa na meneja wake, Martin Kadinda na rafiki yake Petit man, Wema alisoma karatasi hizo huku akionekana mwenye huzuni na alipomaliza alisimama na kuondoka eneo hilo akiwaacha waandishi wa habari wakiwa na kiu ya kuuliza maswali zaidi.

Video iliyosambaa haina maadili yakuwekwa hapa JF
 
Tangia lini mwenye pepo ya ngono akawa na akili timamu,!!![emoji1321]‍♂️
 
niwekee pm
 
Kwani sheria zinasemaje?? TCRA ipo wapi? Sifikiri kama hii tabia ya kuomba radhi tu na mambo yakaisha inaweza kukomesha kadhia hizo. Wakimfunga mmoja wao (kama sheria inatoa adhabu hiyo) kwa makosa hata, itakuwa fundisho zuri zaidi.

Am ukada pia unasaidia??? Maana kuna mifano mingi ya hivyo.
 
Alianza Nandi,akafatia Diamode,na sasa hivi Wema sepede Adani ya mwaka mmoja.Ha ha haaaa

Wasanii wapo uani wanafanya yao na baraza haliwaoni .
 
Ila amejaliwa zigo pia
Haya matukio ya akina Wema ndo yanauza kwenye Media Kwa Sasa.

Nenda YouTube Video ya Wema akiomba Radhi Viewers 50K.

Halafu Video ya Waziri akifungua Mradi wa maendeleo Viewers 10k

.... Hawa ndo Watanzania wenyewe
 
Kwani shonza yupo siku hizi?! Maana hasikiki, yeye angeshachukua hatua za kumwita kumuadhibu mbele ya kamera za waandishi wa habari.
Ananyonyesha kwanza si unajua ametoka kushusha injini
 
Duh sasa mavideo yake kayatuma mwenyewe tena akiwa mzimaanaonakabisa then serikali inamuacha aite press kuongea nini?????? Hawa mbwa ndio wanaotusababisha watanzania tunaonekana hatuna akili watu wanaamua kutuburuza kama wanavyotaka sababu ya mabogus kama haya.
Hao walioenda kumsikiliza ndio wa kupimwa akili ,hakuwa na hadhi ya kuita press conference huyu alitakiwa atupiwe maswali magumu mpka alie wakimaliza ku rigmarole wamwache waende zao wakaandike maoni yao sio story yake
 
Haya matukio ya akina Wema ndo yanauza kwenye Media Kwa Sasa.

Nenda YouTube Video ya Wema akiomba Radhi Viewers 50K.

Halafu Video ya Waziri akifungua Mradi wa maendeleo Viewers 10k

.... Hawa ndo Watanzania wenyewe
Watz wanapenda upuuzi
 
Wote wanaitwa mashabiki wa wasanii wa watanzani naweza sema kuwa ni watu ambao kisomo chao ni kidogo na hata kama wamepata kitabu wana vyeti tu na sio ufahamu wa kuweza kumlinganisha na wasomi wengine .Hivi ulishawahi jiuliza kwa nini gazeti kama kiu ama uwazi bado lipo sokoni hadi leo ?Mvuta bangi aliethibitishwa na mahakama anaita waandishi wa habari nao wanaitikia mwito ?Hakika JPM ana kazi kweli kweli ya kuongoza nchi yenye wajinga wengi kiasi hiki .
 
Huyu demu amekua na miaka 30 kwa muda wa miaka ishirini, nadhani amevunja rekodi ya dunia kubakia kwenye umri mmoja kwa kipindi kirefu
Hahaha......mkuu wewe unaonekana ni shabiki wake mzuri sana, hadi mwenendo wa umri!
 
Daaa nani ameturoga? Yaani 20s unajiona mtoto kwa hiyo unaona sawa wema kufanya anayofanya.wakati 20s wenzetu wazungu wanawaza kugundua vitu vya maana,halafu wewe at 20s unawaza kugundua staili za kugegedana.
Hahahaha.....
 
Back
Top Bottom