Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Hivi ni mwaka jana au mwaka huu alituonyesha kalio lake akiwa kwenye swimming pool? Leo yeye au huyo future husband wake ame upload video yao waki romantika halafu bila aibu anakuja kuomba radhi, ama kweli ujinga hauna kwao, sijui kwa nini hawa wadogo zetu wanapenda kurekodi mambo yao ya faragha, unarekodi ili iweje, uje umuonyeshe nani kwa malengo gani na faida gani utakayopata, huyu binti angekuwa na akili angekuwa mbali sana kimaisha, ndio maana hamna kampuni yoyote ile iliyowahi kumpa ubalozi au walau kupewa matangazo makubwa, ni bahati mbaya sana kwake jua limeshazama kwa sasa.
 
Kila siku anafunga mjadala wa utoto,kwani akikaa kimya kuna nini aombe radhi familia yake sie haituhusu
 
Hii nchi ngumu kukaa sema ndo hivo tena ukiangalia passport kupata imekua changa moto awamu ya Tano lakini ni ngumu sana
 
Siku hizi wasanii wa bongo hasa wanawake sio kioo cha Jamii, ni kioo cha ngono tu na kujionyesha sehemu zao za siri. hakuna wanachoelimisha jamii. Zaidi sana wanaharibu kizazi cha sasa hivi na cha baadae
 
Sheria za makosa ya mtandaoni zilitungwa kwa ajili ya wanasiasa. Huyu nyumbu mara ya pili anafanya makosa yale yale hakuna chochote ambacho atafanywa na mamlaka husika.
 
Nasoma comments za wahukumu wakihukumu hukumu ...
 
It's too late wema. karma is a bitch. Kibaya zaidi sasa umewaruhusu watu watafute hizo clip hata kwa wasiokujua. Uzee ndio huo upo upo tu kila siku kudanga haya sasa umeanikwa kama mpunga wa shamba.
Tulia kha !
Misa mlimcheka na kumdharau sana haya sasa
Usituchoshe na media zako uchwara.
 
View attachment 910355
Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Wema Sepetu ambae ni Msanii wa filamu nchini Tanzania,amewaomba radhi Watanzania pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kuhusu tukio la kusambaa kwa video yake ya faragha mtandaoni.

Wema Sepetu akiongea na Waandishi wa Habari leo jijini Dar Es Salaam, amesema kuwa amewakera Watanzania na mashabiki wake lakini hilo halitatokea tena.

Hv kuna watu bado wanahangaika na hivyo vizee? mabint wote waliojaa town!
 
Duh skendo za kutekwa,kuliwa mate,mwingine kufilwaaa,nchi hii skendo masaa 24.
 
Back
Top Bottom