Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,299
Ni Nani Huyo Wema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Nani Huyo Wema?
Naisubiri kwa hamu press ya Amber Ruty[emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha
Tanzania Ni nzuri Sana Kila Mtu anaweza kuitisha Press conference Na kusimamisha Nchi Kwa Muda
Karibu Madam, sweet heart nakadhalika
Anakuja kuomba Radhi Kwa kufanywa matusi hadharan
Kabisa.Wanampa sifa asizostahili. Na hawataki kumkosoa wao ni kumsifia tu hata anapofanya upumbavu kama huu.Tatizo sio huyu binti bali tatizo ni hao mashabiki wake
Ameomba radhi Watanzania na TCRA kutokana na kupost video yake aki-kiss na Mwanaume aliemuita ‘future husband’.
‘Tangu jana mpaka leo, siko Sawa. Nimejikuta natafakari upya maisha yangu.’
Kwa Mara nyingine tena, nawaomba radhi sana ndugu, jamaa na marafiki wote wanaonisupport’
====
"Naomba radhi ndugu zangu, jamaa na marafiki na wote waliokuwa wakinisapoti kwa moyo mmoja, mama yangu mzazi ambaye alikuwa anaumia zaidi, hakuna marefu yasiyo na ncha, nimefunga jalada la utoto, nimefunga jalada la ujinga, naomba radhi kwa haya yaliyotokea
Ninaomba radhi kwa Serikali yangu kupitia TCRA, nitakuwa binadamu wa ajabu sana iwapo nitasema sijaguswa, nimejikuta kwa mara ya kwanza nimejali, tangu jana mpaka sasa siko sawa. Ni kweli nimeudhi wengi, nimekosea na siwezi kumlaumu yeyote
Leo nasema kwa mdomo wangu nafunga jalada la utoto, ujinga, upuuzi na kila aina ya maumivu niliyosababisha kwa wtu wangu, naomba radhi kwa hili lililotokea na, namuomba Mungu aniongoze katika maisha yangu mapya kwa kuwa ndiye muweza wa yote, ASANTE.
Waandishi wamepigwa bahasha za kakiWaandishi Wa Habari Wa Tanzania Ni Tatizo
Mnawezaje Kuitikia Wito Wa Huyo Mtu Anayejitia Aibu Kwa Kishindo Halafu Jamii Yake Wala Haijashtuka
Mjifunze Kuchagua
Mnapoitwa Na Kuitikia Wito
Huyo Dada Ni Wa Kupuuza
Utashangaa Kesho Eti Hii Nayo Itakuwa
Front Page
Wema Ni Wa Kupuuzwa
Ndiyo Alikuwa Kwenye" Mama Ongea Na Mwanao Campaign "
Birds of the same feathers...huyu ndiye bashite alimtambulisha kama tanzania bitterheart
Birds of the same feathers...
Wallahi tena...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo tu-tune tbc saa mbili kamili usiku?Waandishi wamepigwa bahasha za kaki
Hili si kayamba tu!Vipi anataka kututambulisha mrithi wake maana naona umri wakustaafu umeshafika..
Waandishi Njaa Na Kututia AibuWaandishi wamepigwa bahasha za kaki
HahahahaMadame sepetu, bora Zari haki yanani kichwani kuna akili kuliko huyo wetu akili zipo matakoni
Labda ni mabloggers..!!CCM aitakaa itoke madarakani kama kuna wajinga waandishi wa habari walioenda kwa Wema sepetu na vituo vya radio Ujinga na upumbavu na watanzania ni damudamu