Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa kwani alishikiwa mtutu? Wakati alifanya hivyo kiroho safi asituchoshe na ujinga wake aendelee kupambana na hali yakeMtu kupigwa denda live wakatutumia clip kwa moyo Safi, eti Leo anaomba msamaha! Ptuu
Ametumika sana, kimatumizi anaweza akawa amewazidi wanandoa wengi tu wakongweHahahaha
Yeye hua anakua kwa stail ya play n pause
Wema that's too fake, too childish and a lot of stupidity within it.. Unapenda kiki n you don't care how you get it... Leo umekuwa ndio mada mitandaoni na umejitokeza kwenye press conference kuomba radhi.. Hapo umejisikia vizuri sana.... But think again about your future.. Matukio huacha kumbukumbu... Matukio hayafi... Ipo siku utayajutia haya maishaAmeomba radhi Watanzania na TCRA kutokana na kupost video yake aki-kiss na Mwanaume aliemuita ‘future husband’.
‘Tangu jana mpaka leo, siko Sawa. Nimejikuta natafakari upya maisha yangu.’
Kwa Mara nyingine tena, nawaomba radhi sana ndugu, jamaa na marafiki wote wanaonisupport’
====
"Naomba radhi ndugu zangu, jamaa na marafiki na wote waliokuwa wakinisapoti kwa moyo mmoja, mama yangu mzazi ambaye alikuwa anaumia zaidi, hakuna marefu yasiyo na ncha, nimefunga jalada la utoto, nimefunga jalada la ujinga, naomba radhi kwa haya yaliyotokea
Ninaomba radhi kwa Serikali yangu kupitia TCRA, nitakuwa binadamu wa ajabu sana iwapo nitasema sijaguswa, nimejikuta kwa mara ya kwanza nimejali, tangu jana mpaka sasa siko sawa. Ni kweli nimeudhi wengi, nimekosea na siwezi kumlaumu yeyote
Leo nasema kwa mdomo wangu nafunga jalada la utoto, ujinga, upuuzi na kila aina ya maumivu niliyosababisha kwa wtu wangu, naomba radhi kwa hili lililotokea na, namuomba Mungu aniongoze katika maisha yangu mapya kwa kuwa ndiye muweza wa yote, ASANTE.
Watu wa aina yake Mara nyingi huishia kujiua tuu.Wema that's too fake, too childish and a lot of stupidity within it.. Unapenda kiki n you don't care how you get it... Leo umekuwa ndio mada mitandaoni na umejitokeza kwenye press conference kuomba radhi.. Hapo umejisikia vizuri sana.... But think again about your future.. Matukio huacha kumbukumbu... Matukio hayafi... Ipo siku utayajutia haya maisha
Mimba za bahati mbaya na malezi ya upande mmoja pia vinaweza kuchangia sanaWatu wa aina yake Mara nyingi huishia kujiua tuu.
Ukifika mahali unatamani wakukutia na kila mtu hana hamu juu yako ndio atanielewa nasema nini.
Mshana shida kubwa ni mama yake, najiuliza Balozi (marehemu) alipendea nini enzi hizo hapo? Kukosa maadili hakuji uzeeni bali ni mchakato. Au Mzee Ibra alikula ooo?
Ipo, imeambatishwa. Ila cha kusikitisha kaacha mistari inayotenganisha "maziwa" yake nje. I regard this as a publicity stunt.hiyo video anayoomba radhi nayo ipo wap?
hahahaha kwani nani anatakiwa kuwaita wana habari? hahahaha Zitto angeitisha asingepata mtu hapo hahahaDunia inafurahisha sana, Eti Wema naye anaita press Conference naona anataka kututambulisha kwa Danga lake jipya..