Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Mngekuwa na elimu msingekuwa mnahangaika na hizi takataka. Nmekuja kusoma nikidhan ni mtu wa maana.kuangalia waandishi wenyewe ndo hao makanjanja
 
Video clip inayooendelea kusambaa ikimwonesha Sepede akifanya yake ina takribani wiki ila baraza la sanaa lipo kimya mpaka sasa. Kwa kumbu kumbu za haraka haraka ilipotokea issue ya nandy na billnas hawa jamaa fasta waliwaaita. Vp kunani kwa sepenga.
Naona nao wako busy kuiangalia mpaka wamalize kisha waridhike ndio watakuja mbele ya mike
 
unashukuru kwa hili lililotokea sasa unaomba radhi ya nini? kama unashukuru kwa hili lililotokea kwanini unasema umeumizwa?
 
View attachment 910355
Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Wema Sepetu ambae ni Msanii wa filamu nchini Tanzania,amewaomba radhi Watanzania pamoja na Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) kuhusu tukio la kusambaa kwa video yake ya faragha mtandaoni.

Wema Sepetu akiongea na Waandishi wa Habari leo jijini Dar Es Salaam, amesema kuwa amewakera Watanzania na mashabiki wake lakini hilo halitatokea tena.

Hawa ndo waandishi wa habari bongo😳😳😳
 
Miaka yote nilikuwa namuhukumu sana katika kila alilolifanya baada ya kuja kugundua kwamba ndo kwanza katimiza miaka 30, basi nimemsamehe kwa yote, I mean hata mimi nilipokuwa 20’s nilikua kichaa pia, na sikuwa maarufu wala mambo yangu kuandikwa popote, hivyo ni sawa na aliishi kulingana na umri wake nina Imani sasa atakuwa tofauti kabisa kwenda mbele.

Kumbe alikuwa ni kinda kabisa, duh!
 
Back
Top Bottom