Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Ameomba radhi Watanzania na TCRA kutokana na kupost video yake aki-kiss na Mwanaume aliemuita ‘future husband’.

‘Tangu jana mpaka leo, siko Sawa. Nimejikuta natafakari upya maisha yangu.’

Kwa Mara nyingine tena, nawaomba radhi sana ndugu, jamaa na marafiki wote wanaonisupport’

Mwanzoni huyu mrembo nilidhani kuwa alikuwa anasingiziwa mambo mengi ya kashfa lakini baadaye nikagundua kuwa hana class. Kupenda kwake kuwa adored kumeshusha hadhi yake bila ya yeye kutambua kwa sababu huko kuomba radhi kwake hii siyo mara ya kwanza. Aendelee kusafisha macho ya waja.
 
Duh sasa mavideo yake kayatuma mwenyewe tena akiwa mzimaanaonakabisa then serikali inamuacha aite press kuongea nini?????? Hawa mbwa ndio wanaotusababisha watanzania tunaonekana hatuna akili watu wanaamua kutuburuza kama wanavyotaka sababu ya mabogus kama haya.
 
Ameomba radhi Watanzania na TCRA kutokana na kupost video yake aki-kiss na Mwanaume aliemuita ‘future husband’.

‘Tangu jana mpaka leo, siko Sawa. Nimejikuta natafakari upya maisha yangu.’

Kwa Mara nyingine tena, nawaomba radhi sana ndugu, jamaa na marafiki wote wanaonisupport’

Vyombo vyetu vya habari navyo ni shida..Ujinga ujinga ndio unashadadiwa
 
Video clip inayooendelea kusambaa ikimwonesha Sepede akifanya yake ina takribani wiki ila baraza la sanaa lipo kimya mpaka sasa. Kwa kumbu kumbu za haraka haraka ilipotokea issue ya nandy na billnas hawa jamaa fasta waliwaaita. Vp kunani kwa sepenga.
 
Anapost video anakulana denda ananyonywa na lijamaa mpaka mdomo unavimba afu eti anaomba radhi, kahaba mkubwa

Mkuu tuwekee basi nasisi huku JF tufaidi kidogo maana yeye mwenyewe si ndio kapiga ili tuangalie saidia kusambaza mkuu ili apate viewer's wengi kule yu-tyubu.
 
Nadhania tu balaza wanajiongeza, yaani mtu mzima anajiandaa kuliwa uroda, wewe unapigia balaza kelele ya nini! In short wema awezi jirecord. Sema Kwa picha ile wema mambo ya romantic yuko Nyuma Sana!.
 
Back
Top Bottom