Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Yule ni kubwa jinga!!....Anakubali vipi kukojolewa na mbwa koko?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ungemezea!
Yule ni kubwa jinga!!....Anakubali vipi kukojolewa na mbwa koko?!
mama yakoNi Nani Huyo Wema?
Sasa juzi alivyokubali kukojolewa na mbwa koko kwani bado yupo kwenye 20's?Lkn alikuwa yuko 20’s, unajua yote ambayo mademu hufanya umri huo?
Miaka yote nilikuwa namuhukumu sana katika kila alilolifanya baada ya kuja kugundua kwamba ndo kwanza katimiza miaka 30, basi nimemsamehe kwa yote, I mean hata mimi nilipokuwa 20’s nilikua kichaa pia, na sikuwa maarufu wala mambo yangu kuandikwa popote, hivyo ni sawa na aliishi kulingana na umri wake nina Imani sasa atakuwa tofauti kabisa kwenda mbele.
Kumbe alikuwa ni kinda kabisa, duh!
Daaa nani ameturoga? Yaani 20s unajiona mtoto kwa hiyo unaona sawa wema kufanya anayofanya.wakati 20s wenzetu wazungu wanawaza kugundua vitu vya maana,halafu wewe at 20s unawaza kugundua staili za kugegedana.Miaka yote nilikuwa namuhukumu sana katika kila alilolifanya baada ya kuja kugundua kwamba ndo kwanza katimiza miaka 30, basi nimemsamehe kwa yote, I mean hata mimi nilipokuwa 20’s nilikua kichaa pia, na sikuwa maarufu wala mambo yangu kuandikwa popote, hivyo ni sawa na aliishi kulingana na umri wake nina Imani sasa atakuwa tofauti kabisa kwenda mbele.
Kumbe alikuwa ni kinda kabisa, duh!
SAMAKI HUKUNJWA AKIWA MBICHI
Huyu demu amekua na miaka 30 kwa muda wa miaka ishirini, nadhani amevunja rekodi ya dunia kubakia kwenye umri mmoja kwa kipindi kirefu
😀Uzuri ni kua katika hizo vipaza sauti sijaona vipaza vinavyoheshimika na Taifa
Vipaza vyote vilivyopo hapo na watangazaji wake hawana tofaufi na huyo kahaba
Daaa nani ameturoga? Yaani 20s unajiona mtoto kwa hiyo unaona sawa wema kufanya anayofanya.wakati 20s wenzetu wazungu wanawaza kugundua vitu vya maana,halafu wewe at 20s unawaza kugundua staili za kugegedana.
Mkuu wewe ni mgeni Tanzania? hao wanaogombea miss Tanzania, wengine wameolewa wakaachika achilia mbali umriHivi mtu kama huyo anawezaje kudanganya umri wake? Huyu amekuwa Miss TZ nafikiri hivyo kila kitu kipo wazi!
Huyu demu amekua na miaka 30 kwa muda wa miaka ishirini, nadhani amevunja rekodi ya dunia kubakia kwenye umri mmoja kwa kipindi kirefu