Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameomba radhi Watanzania na TCRA kutokana na kupost video yake aki-kiss na Mwanaume aliemuita ‘future husband’.
‘Tangu jana mpaka leo, siko Sawa. Nimejikuta natafakari upya maisha yangu.’
Kwa Mara nyingine tena, nawaomba radhi sana ndugu, jamaa na marafiki wote wanaonisupport’
====
"Naomba radhi ndugu zangu, jamaa na marafiki na wote waliokuwa wakinisapoti kwa moyo mmoja, mama yangu mzazi ambaye alikuwa anaumia zaidi, hakuna marefu yasiyo na ncha, nimefunga jalada la utoto, nimefunga jalada la ujinga, naomba radhi kwa haya yaliyotokea
Ninaomba radhi kwa Serikali yangu kupitia TCRA, nitakuwa binadamu wa ajabu sana iwapo nitasema sijaguswa, nimejikuta kwa mara ya kwanza nimejali, tangu jana mpaka sasa siko sawa. Ni kweli nimeudhi wengi, nimekosea na siwezi kumlaumu yeyote
Leo nasema kwa mdomo wangu nafunga jalada la utoto, ujinga, upuuzi na kila aina ya maumivu niliyosababisha kwa wtu wangu, naomba radhi kwa hili lililotokea na, namuomba Mungu aniongoze katika maisha yangu mapya kwa kuwa ndiye muweza wa yote, ASANTE.
Waliokuwa wanamsikiiza nao ni mapashkuna kama yeye mkuu usipate tabuNimedokezwa mahala kuwa leo ' Madam Miguu Fito ' a.k.a Wema Sepetu ameongea na Watanzania ( Kasoro GENTAMYCINE ) hivyo naomba tu kujua ya kwamba waliokuwa wakimsikiliza walikuwa ni Waandishi wa Habari au Wapashkuna wa Habari?
Nawasilisha.
Ni nani huyo mbona naona manyotanyota tu!!Dunia inafurahisha sana, Eti Wema naye anaita press Conference naona anataka kututambulisha kwa Danga lake jipya..
Kwa Mara nyingine tena, nawaomba radhi sana ndugu, jamaa na marafiki wote wanaonisupport’
Elimu,Elimu ,ElimuTuna celebs wengi wapumbavu