Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kwani asingezeeka kama asingejikondesha?Hakuna mtu mchawi Kama mtu aliyemwambia Wema ajikondeshe.
Zimebaki lips.Hakuna mtu mchawi Kama mtu aliyemwambia Wema ajikondeshe.
Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26.
Lakini kwasiku za karibuni ameanza kuzeeka, sura imeanza kuwa ya kiutu uzima sasa. Nadhani sasa akiulizwa umri walau atatuambia ana miaka 30.
Ama kweli wakati ni ukuta na huwezi kupambana nao! View attachment 2594378
This lady used to be pretty aseee.. Dahhh!!Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26.
Lakini kwasiku za karibuni ameanza kuzeeka, sura imeanza kuwa ya kiutu uzima sasa. Nadhani sasa akiulizwa umri walau atatuambia ana miaka 30.
Ama kweli wakati ni ukuta na huwezi kupambana nao! View attachment 2594378
Hata yeye atakuwa anajuta sasaHakuna mtu mchawi Kama mtu aliyemwambia Wema ajikondeshe.
yan ni mchawi mchawi, uswitihati wote umeisha mtoto alikuea na body laiinii saiv naona mifupa tu heri nandiHakuna mtu mchawi Kama mtu aliyemwambia Wema ajikondeshe.
Mtu na bibi yakeTangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26.
Lakini kwasiku za karibuni ameanza kuzeeka, sura imeanza kuwa ya kiutu uzima sasa. Nadhani sasa akiulizwa umri walau atatuambia ana miaka 30.
Ama kweli wakati ni ukuta na huwezi kupambana nao! View attachment 2594378
Kabisa mkuu, tuombe mwisho mwema kwani ikiwa mwenyezi MUNGU atakujalia mwisho mwema lazima utazeeka tu hapa nilipo Kuna baadhi ya vijana wananiita Mzee,huwa nashtuka, lakini nikilinganisha na umri wangu basi Wana haki.......licha ya kuwa wengi tunapenda kuishi miaka mingi lakini deep down tunauchukia uzee, uzee ukizidi ni ugonjwa, lakini pia uzee maana yake ni kuacha mazuri mengi ya ujanani, so ni masikitiko, tusiwaseme watu wenye umri mkubwa au wanaoelekea uzeeni, inaumiza kiasi fulani kuuaga ujana, na zaidi ya yote wote tutazeeka na kufariki, kama huyo Wema akipita hapa hatuwezi kujisikia vizuri kwakweli, tujali hisia za wenzetu.......huwa najisikia vibaya nikiona picha za sasa za Celine Dion daa!!.........
Aulizwe wema mwenye miaka 26 dailyHivi kuzeeka ni dhambi?
......sio dhambi mkuu ila kutokana na hasara nyingi za uzee kuliko ujana, watu huwa wanatumia uzee au umri kuwaoffend wengine na hasa kuwanyanyasa wanawake........Hivi kuzeeka ni dhambi?
Nakubaliana na wewe.Hakuna mtu mchawi Kama mtu aliyemwambia Wema ajikondeshe.