Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Na makeup pia. Hizi makeups nyengine tukipaka wanawake zinatufanya tuonekane kama vizee vya miaka 60
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaaaHakuna mtu mchawi Kama mtu aliyemwambia Wema ajikondeshe.
Dah ndo maana mwana Kwa uchungu Sana akawaomba hadhira kabla hajachuja wala kuvuja tumuite mwanza! Mwanza! Uzee ni shida ujana mtamuMaua hunyauka, story huisha na kumbukumbu husahaulika, sisi sote ni wa kupita...
Ina maana kipindi anashiriki miss Tanzania mwaka 2006 alikuwa na miaka 16Amezaliwa September 28 1990 so now Anaingia 33 this year kwahiyo sio mzee saana
Wizi mtupu....Ina maana kipindi anashiriki miss Tanzania mwaka 2006 alikuwa na miaka 16