Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

Hahaha Mbooko za kutosha
Yaani ukisikia kuzitumia sehemu effectively,Wema kachezesha,kachezesha kweli.Mechi za ndondo hajacheza kivile,kaingia mjini bado mbichi,akaanza kukitembeza,yaani kachapika kwelikweli,hana deni hapa duniani kwakweli,alikosa kizazi tu,ila kiungo,kakichezesha,ukute hivi ninavyoandika anachezea pamoja na akina dada wengine wa Bongo movie pia.
 
A

Aisee
 
Hakuna anaependa uzee ila uzee lazima uje na unakuja taratibu
Mimi mwenyewe nilistuka naanza kusalimiwa shikamoo na kila mtoto nikasema tayali naonekana mtu mzima🤣🤣
 
.......licha ya kuwa wengi tunapenda kuishi miaka mingi lakini deep down tunauchukia uzee, uzee ukizidi ni ugonjwa, lakini pia uzee maana yake ni kuacha mazuri mengi ya ujanani, so ni masikitiko, tusiwaseme watu wenye umri mkubwa au wanaoelekea uzeeni, inaumiza kiasi fulani kuuaga ujana, na zaidi ya yote wote tutazeeka na kufariki, kama huyo Wema akipita hapa hatuwezi kujisikia vizuri kwakweli, tujali hisia za wenzetu.......huwa najisikia vibaya nikiona picha za sasa za Celine Dion daa!!.........
Dunia ya leo ni Mtanzania gani anauogopa uzee?hiyo 50 tu inatafutwa kwa torch ije kuwa 70/80.

Mimi huwa natamani kuufikia huo umri wala siombi uchelewe,niwaone wanangu wanajiendeshaje maisha yao na Mungu akipenda niwaone wajukuu zangu,hakuna cha kuogopa muhimu iandae kesho yako leo kwa kipato pia jamii yako ipe elimu kingine ishi na watu vizuri hutauchukia uzee.
 
Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26.

Lakini kwasiku za karibuni ameanza kuzeeka, sura imeanza kuwa ya kiutu uzima sasa. Nadhani sasa akiulizwa umri walau atatuambia ana miaka 30.

Ama kweli wakati ni ukuta na huwezi kupambana nao! View attachment 2594378
bro hapo anakula jina tu.!
 
Wee mwenyewe utazeeka tu

Uzeehaukwepeki

Ova
 
Huyu alijimaliza moja kwa moja alipotuondoshea ule MZigo, Mimi toka kipindi kile nilim delete moja kwa moja kwenye mazingira yangu.
 
Hakuna mtu mchawi Kama mtu aliyemwambia Wema ajikondeshe.
Me kipindi kile anasteki na minofu nilikuwa nikimuona nadinda balaa. Natamani nikutane nae hata kiwanja fulani hivi nimtaiti tupeane gemu. Ila dah
Sasa hivi amejikausha amekuwa kama mti wa dawa sina hata stimu nae tena.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Mti wa dawa.
 
Dunia ya leo ni Mtanzania gani anauogopa uzee?hiyo 50 tu inatafutwa kwa torch ije kuwa 70/80.

Mimi huwa natamani kuufikia huo umri wala siombi uchelewe,niwaone wanangu wanajiendeshaje maisha yao na Mungu akipenda niwaone wajukuu zangu,hakuna cha kuogopa muhimu iandae kesho yako leo kwa kipato pia jamii yako ipe elimu kingine ishi na watu vizuri hutauchukia uzee.
Mmmmmmhmn
 
Back
Top Bottom